Search results

  1. kwabwina

    Msaada hela za marehemu

    Wewe ndio msimamiz wa mirathi ya marehemu !
  2. kwabwina

    Vijana msio na ajira watumieni vizuri wake za watu na wamama wenye mahitaji maalumu wenye pesa mtoboe kimaisha

    VP kuhusu kufumaniwa na mwenye mke na maradhi he! Dah bado nayapenda malinda Yangu siwez kufumuliwa kirahisi hvyo mkuu napambana na hal Yangu mkuu ntatoboa tu mkuu si kupenda mtelezo kiasi hicho
  3. kwabwina

    Adha karibu na geti la Ikulu Dar!

    Jaman na mm huku Barabara ya MPITIMBI kwenda LITAPWASI huku SONGEA vijijin BARABARA ina mashimo sana ipo chini ya TANROAD tunaomba mtuone na sisi samahan sana naona wengi wanaocoment ni wa BARABARA za darisalamu samahan kwa kuingilia Uzi
  4. kwabwina

    Dizzim itawafunika Wasafi TV

    Mi bado naangalia tinga namba 1 kwa vijana chanel5 hizo station nyingine za burudan bado sana
  5. kwabwina

    DAR: Mabasi 29 ya Mwendokasi yaharibika huku baadhi ya Wafanyakazi wakipewa likizo kutokana na ofisi kujaa maji

    Kweli yajayo yanafurahisha mwaka Jana maji yalijaa na magar yakaharibika hawakuchukua hatua hatua yeyote kwa mwaka huu au walidhan mwaka huu mvua hazitonyesha kweli hii bongo tena nyoso hakuna jipya wachukuliwe hatua za kisheria kwa uharibifu wa Mali ya umma
  6. kwabwina

    Hii tabia ya kuvaa sare za vyama vya siasa msibani haina tija kwa taifa

    Kabisa mkuu sasa msibani na sare ya chama wapi na wapi au wanaenda kuhubir siasa pia badala ya kumfariji mfiwa kweli tumefika pabaya ila nashukuru huku kwetu MPITIMBI haya mambo bado
  7. kwabwina

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kichonge katka ubora wako VP teuz bado tu mkuu maana awamu hii umekazania kuipaka rangi jambo lolote la kiserikali umesahau kuwa n wajibu wa serikali kuleta maendeleo kwa wananchi kwan n kodi Yangu mm na wwe wala hatoi mfukoni mwake na akikopa walipaji n mm na wewe SIJUI UJINGA HUU UTATUTOKA...
  8. kwabwina

    Yanga yaathiriwa na kukosekana kwa makocha hawa

    Hata bei ya pamba mwaka Jana haikuwa nzur sana nayo imechangia pia
  9. kwabwina

    Kipatimu; Naomba maelezo ya kuhusu eneo husika

    Nimeishi KILWA na kaz Yangu ya kwanza nilianza kilwa masoko ndio makao makuu ya wilaya ya kilwa ukitokea DAR Hautofika kilwa masoko nadhani kuna kijij kinaitwa njia 4 hapo ndio kuna junction ya kwenda huko kipatimu ni kuzur kias utapitia vjj kama chumo namayuni na vingne ving kabla ya kufka...
  10. kwabwina

    Mradi wa viwanja 20 Kigamboni: Baadhi ya wananchi waliouziwa viwanja na kujenga wawekewa alama ya "X"

    Hata huku kwetu kimbiji BARABARA ya mwasonga kuelekea kiwanda cha lake cement nas tumepigwa x imezua taharak kwa wakaz wengi
  11. kwabwina

    UCL Final: Tutegemee kuona nini katika fainali ya Madrid Vs Liverpool

    Nahisi mtoa mada n wale majamaa walioisakama Liverpool toka round 16 kuwa haifik popote lakin mwisho wa siku timu IPO final na bado haitoshi mkaona mje na matokeo yenu ya mfukoni haya ngoja tuone
  12. kwabwina

    Mange Kimambi sasa aamua kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva

    Mkuu Tatum huwa kila siku nakuambia na hausikii weka namba yako ya simu teuz imebak moja tu La sivyo utakuwa unatwanga maji kwenye kinu mwenzako kichonge mda sio mrefu atakuwa mbali wewe ukiendelea kuzubaa
  13. kwabwina

    Bayern Munich Nani Kawaroga?

    Wamejiroga wenyewe mkuu
  14. kwabwina

    The Book Readers Forum

    Mkuu tengenza link tujiunge itakuwa bomba hii ya kutoa namba s salama sana
  15. kwabwina

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kikubwa nilichogundua hawa wenzetu wanaotupinga ni husda tu baada ya kuona timu zao hazijafika hatua hii mm nawafananisha na MTU ambaye kaz yake kumsifia baba wa mwingine akifanya vizur badala ya kuelekeza nguvu ya kumshaur baba yako mjue WAP. mlipoteleza hadi kuwa hivyo na mwaka huu mtahama...
  16. kwabwina

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mi nawashangaa sana hawa wanaokuja kucritisize kila kitu cha Liverpool niwaambie tu kwa sasa Liverpool ndio talk of the world ndio maana mkaacha forums zenu wote mmeamia humu kwa sababu timu zenu hakuna zinachoshiriki mtazungumza nn na wengine bahati mbaya hata hiyo top 4 kwenye ligi zao hampo...
  17. kwabwina

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Huo huo ukuta was makuti umetufanya tufike semi final cjui wwe mwenye ukuta was zege upo wap sasa
  18. kwabwina

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mo salah is not human ....is alien
  19. kwabwina

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mkuu kwanza sorry kwa kukuita mnafiki Ila Huyo Madrid unayemsema hata game1 ya semi final hajacheza na ushampa ushindi hii kisoka haijakaa sawa na kesho sio mbali mkuu sababu mm na wewe bado hatujui matokeo kwan mpira bado haujachezwa
Back
Top Bottom