Search results

  1. Bossless

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Kwanza napenda kutoa pole na shughuli za kutwa kwa wale wahangaikaji wote kama mimi ambao kila siku lazima tutoke ili tuweze kujipatia riziki halali kila siku iendayo kwa mungu. Tuseme wote asante mungu. Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada,mdaa huu...
  2. Bossless

    Kuna haja ya Mungu kukiondoa kizazi hiki haraka sanaa kwa faida ya kizazi kijacho.

    Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo ,kutokana na matukio yanayoendelea nchini na duniani kwa wenzetu naona kuna haja ya mwenyezimungu kukiondoa haraka kizazi hiki kwa manufaa ya vizazi vingine vijavyo mbele haijalishi akiondoae kwa maji,moto,magonjwa n.k lakini kitoke...
  3. Bossless

    Kisa cha Nabii Ibrahim na mfanano wa tukio la ajali ya morogoro watu kuungua kwa moto.

    Asallam alykum wapendwa ,kwanza nitoe pole kwa ndugu zangu wote waliopatwa kupoteza ndungu zao kwenye ajali ya moto huko morogoro na majeruhi mwenyezimungu awafanyie wapone haraka ili warudi katika majukumu yao ya kila siku.ishallah Ajali ya jana imenikumbusha kisa cha Nabii Ibrahim (AS) baada...
  4. Bossless

    Msaada tafadharu Nini kifanyike ikiwa kuku watajikuta wamezoea kutaga mayai sehemu moja?

    Habari zenu wadau,mimi ni mfugaji mchanga wa kuku,nimekuja kwenu kama njia ya kujifunza kutokana na changamoto nilikutana hayo,natumaini humu kutakuwa na magwiji kwenye hii fani ya ufugaji kuku. Katika banda langu kuku wangu wawili wamejikuta wameanza kutaga sehemu moja hapo wote hawajaanza...
  5. Bossless

    Utapeli jamani watumishi chukueni tahadhari

    Hatarii Ndugu watumishi Mtapigiwa simu 1. Utatajiwa TSD namba yako. 2. Majina kwa usahii 3. Account number. 4. Check number 5. Tatehe ya ajira na details muhimu, Alafu aanakwambia yupo TAMISEMI Dodoma, anakuibia siri umedanganya umri ktk faili lako na kisheria ni kosa la jinai, na upo ktk...
  6. Bossless

    Maafisa usalama wa Kenya wamefanikiwa kumrudisha Miguna Miguna Canada?

    Habari za jioni hii wanajamvi naomba kujua kuhusu ile video inayotrend kwenye mitandao toka Jana ya mwanasiasa/Mwanasheria machachari wa Kenya Miguna Miguna kulazimishwa kurudi Canada na Serikali ya Kenya nae kugomea kwenye ndege ikionekana akivutana na wanausalama wa Kenya ,je? Amerudi huko...
  7. Bossless

    Naomba kujuzwa kuhusu huyu mwanamama

    Habari zenu wanajamvi . Kwanza kabla yote naomba nitoe pole kwa wale wenzetu wote ambao meathiriwa na mafuriko kwa namna moja ama nyingine. Bila kuwachosha ,kichwa cha habari hapo juu chajieleza Naomba kujuzwa kuhusu huyu mwanamama namuona sana kwenye mitandao maeneo mbalimbali Afrika na...
  8. Bossless

    Hadi leo watumishi wa umma hawajalipwa mshahara, mtakuja kuwaua

    Habari za weekend waungwana Inashangaza sana hadi tarehe ya Leo 25/02/2018 baadhi ya mikoa watumishi wa umma bado hawajalipwa mishahara ya mwezi Februari. Hii ni hatari sana, Serikali ijue kuna watumishi wapo vijijini sana wanategemea huo mshahara kuendesha familia zao. Mtakuja ua watu bure...
  9. Bossless

    Ushauri: Nataka kuukana uraia wa Marekani ili niwe mtanzania ila nahofia suala la amani Tanzania

    Wanajamvi Mimi ni mtanzania mwenye uraia wa nchi mbili lakini kimagumashi, nina uraia wa Marekani na Tanzania japokuwa nikija nchini natumia passport ya Marekani ila nikiwa nchini napretend kama mtanzania pure licha ya kuukana uraia Siku za nyuma kutokana na struggle za ki- maisha, ila baada ya...
  10. Bossless

    Tafadhari msaada kwa wanaojua sheria

    Habari zenu wadau: Nina ndugu yangu ni mwajiriwa kwenye sekta moja ya umma nchii hii,yupo kitengo cha makusanyo ya ushuru mdogo mdogo wa mapato ya taasisi hiyo. Ila kwa bahati mbaya kwa mwaka Jana akiwa kazini kwake alipata matatizo ya kupoteza kiasi cha fedha kama 1mil. Kwa vurugu...
Back
Top Bottom