Utapeli jamani watumishi chukueni tahadhari

Bossless

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
1,381
2,892
Hatarii
Ndugu watumishi Mtapigiwa simu
1. Utatajiwa TSD namba yako.
2. Majina kwa usahii
3. Account number.
4. Check number
5. Tatehe ya ajira na details muhimu,

Alafu aanakwambia yupo TAMISEMI Dodoma, anakuibia siri umedanganya umri ktk faili lako na kisheria ni kosa la jinai, na upo ktk mchakato wa kuondolewa kazini kwa mujibu wa Rais waliongeza hata tarehe Moja ni wakosaji, mwishowe atakutaka umtumie fedha akubadilishie akidai ni ( SIRI). Kuweni makini watumishi yamenikutaaa
Jioni hii Leo 28/04/2018
C&p
 
Pole sana mkuu, kwa hiyo wamefanikiwa kukujeruhi? ila tunakushukuru kwa kuutarifu umma wa wafanyakazi..mkuu grisi..! hiyo ni grisi.
Mmoja akanipigia simu anasema kuna kazi Geita Gold Mine ya store keeper nipeleke mtoto mshahara milioni 1. Akakataa kunipa details akataka niache aongee na kijana mwenyewe. Nikajua tayari ni wenyewe. Nikajitoa kimya kimya.
 
Hawa jamaa wanaakili sana aisee,yani wanakaa chini na kubuni njia za upigaji tu
 
Back
Top Bottom