Search results

  1. HOYANGA

    Ulishawahi kuugua tumbo ukiwa safarini?

    Acha matunda, niamini utashukuru baadae! Biscuits zatosha.
  2. HOYANGA

    Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

    simu yako 0762 haiko hewani via whaatapp
  3. HOYANGA

    Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

    Weka namba yako ya simu kama ina whatapp. je inachukua muda muda gani kuwa tayari!
  4. HOYANGA

    Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

    Hama huu Bei gani?
  5. HOYANGA

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Tarehe 29/10/2018 nilitoa pesa kwa ajili ya kulipia mzigo wangu. Jana tarehe 14/11 nilienda PPF tower nikachua mzigo wangu uko sealed. Nashukuru sana Mwl, sasa nina kila sababu ya kukuamini. Keep the ball rolling.
  6. HOYANGA

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwl Tafadhali naona kujua mpaka naiweka mkononi nalipa kiasi gani? English Version Smart Watch Xiaomi Amazfit Bip Huami Mi Pace Lite IP68 GPS Gloness Smartwatch Heart Rate 45 Days Standby-in Smart Watches from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group
  7. HOYANGA

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Habari Mwl. mpaka naipata hii itakuwa bei gani
  8. HOYANGA

    Je, unahitaji laptop au tablet mpyaa ya kisasa kwa bei pouwa?

    Chini ya Inch 15 laptop bei gani?
  9. HOYANGA

    Manzese na UDSM: Wali nyama imefika shilingi ngapi?

    Ikizidi sana 2500...hata wafanyakazi tunapona humo humo
  10. HOYANGA

    Kutumia dish la dstv na kisimbuzi cha zuku

    Habari za leo wana jukwaa! Naomba kujua kama inawezekana kutumia dish la dstv na kisimbuzi cha Zuku baada ya kutafuta sattelite ambayo ZUKU wanarushia channels zao. Maoni yenu tafadhali.
  11. HOYANGA

    Karagwe: Hakimu wa Wilaya, Peter Matete aandika barua ya kuacha kazi!

    Haya maisha we yaache tu...ukiwa maeneo ya vyuo ukasikia vijana wanavyo fikiria na kujadili maisha baada ya graduation, ni kama tamthilia fulani hivi ya anasa.
  12. HOYANGA

    Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Ubungo msewe ni balaa kwa sasa.
  13. HOYANGA

    Serikali kuwalipa doctor, professor na wanazuoni sh 300,000 bunge la katiba ,kushusha hadhi taaluma

    Inawatosha sana, kwa sababu mshahara wenyewe wataendelea kupata i guess hata wasipo pata 300000*20=6000000 na hii kwa uchache tu. Hii ni karibia mara mbili ya mishahara yao inayopatikana kwa jasho kubwa la foleni za scripts za mitihani. Mimi naona wamewasaidia kupunguza ukali wa maisha sana.
  14. HOYANGA

    Msaada wa kufahamishwa kiwango cha ada za veta.

    Nashukuru ndugu SALAMA SALIMINI kwa maelezo mazuri sana.
  15. HOYANGA

    Kwa mtaji huu East African Federation tuta-survive?

    Kichwa kinauma sana hii nchi, kwani wangetumia kiswahili wasinge eleweka???
  16. HOYANGA

    Msaada wa kufahamishwa kiwango cha ada za veta.

    Sina shaka mko salama wanajamii. Tafadhali naomba kufahamishwa ada za kozi za muda mrefu VETA kwa mwenye uelewa, najaribu kupitia tovuti yao sipati taarifa za kutosha. Natanguliza shukrani zangu.
  17. HOYANGA

    Vyuo vya Uandishi wa Habari - DSM

    Nenda UDSM-kuna kampas ya Kijitonyama wanato hiyo kozi.
  18. HOYANGA

    Nimesugua sana benchi, je postgraduate diploma ya education out yaweza kuwa msaada kwangu..?

    Check kwenye tovuti yao mambo ya malipo na muda wa kusoma hiyo kozi husika. Je unataka kusoma hiyo postgraduate ili uajiliwe na serikali kama mwalimu??? kwa namna trend ya mambo yanavyokwenda soko la waalimu wa arts litakuwa limejaa siku si nyingi sana. Kama utaajiliwa mwaka huu kwa sifa...
  19. HOYANGA

    Msaada: Usaili Ubalozi wa Marekani!

    Points noted with thanks!!
Back
Top Bottom