Search results

  1. kifrogi

    You're Discriminatory, NHC Tenants Protest... Tanzanian of Asian descent are Unhappy with NHC

    Una maana serikali yetu makini ikishinda wasukuma wanaoishi Arusha watatolewa pima na kupokwa haki zao ili wapewe wachagga? itatisha sana mkuu.
  2. kifrogi

    You're Discriminatory, NHC Tenants Protest... Tanzanian of Asian descent are Unhappy with NHC

    Mkuu kwa heshima na taadhima naomba nikusahihishe nyumba nyingi za maeneo mazuri uliyoyataja wewe za NHC ni nyumba zilizotaifishwa wakati wa ujamaa na wengi wa waliotaifishwa nyumba hizo ni wahindi na waarabu kuna baadhi walipewa haki zao za kuishi kwenye nyumba hizo mfano ni muhindi ambae...
  3. kifrogi

    Waheshimiwa Zitto, Kitila na Mnyika eti hii ni kweli?

    Jamani chadema wenzangu mbona mnaikimbia hii hari kwanini tusiijadili maana nimeanza kushikwa na hofu ya kukimbiwa na wanachama wasiokuwa Christians.
  4. kifrogi

    Totozi za kisukuma zaongoza kwa ukali Kenya,Uganda na Tanzania

    Fucck you TANESCO Proudly Kenyan mkuu kenya upo pande ipi wewe mmeru au kilenjin? maana kilenjin kuna totoz hapana mchezo au ulitaka kuwasakama kina manka?
  5. kifrogi

    Waheshimiwa Zitto, Kitila na Mnyika eti hii ni kweli?

    Habari zenu wapiganaji wetu. Leo nimeona kwenye gazeti silikumbuki jina kuwa Chadema chama tunachokipenda kimeungana na chama cha kikristo cha ujerumani kinachoitwa CDU Christian Democratic Union na kitasaidia Chadema kwa hali na mali ikiwa ni pamoja na semina ili kuimarisha uhusiano wa vyama...
  6. kifrogi

    ?Issey Miyake L'Eau Bleue

    Rozana hawana za ukweli nyingi ni copy huwezi kujua mpaka uwe mjanja utauziwa kitu cha rahisi kwa ghali kisa umeuziwa samora nisikilize mkuu ACD pharmacy wanauza original ila bei ipo juu kuliko sehemu yoyote hapa bongo kwa sababu wanauza vitu vya ukwenhe
  7. kifrogi

    Maalim Seif: CHADEMA wako sahihi kwenye suala la posho

    Hapo kwenye nyekundu cdm tungehakikisha kina lissu na zitto wanabadilisha sheria ya kiiunua mgongo cha ubunge ili pesa zinazookolewa zisaidie maendeleo maana ukifanya hesabu ya pesa itakayokuwa saved kwa wabunge wote ni mara elfu ya pesa za posho na mara mia tano ya pesa za shangingi. Ni imani...
  8. kifrogi

    Maalim Seif: CHADEMA wako sahihi kwenye suala la posho

    Maalim Seif kichwa sana tunamhitaji cdm ili alete changamoto maana yeye ni hazina kwa siasa za tanzania na itatusaidia kupata wafuasi wengi pemba. Pipooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
  9. kifrogi

    Wingu na Mbingu

    Ndoa zingine maziwa, huishi wewe kunyonywa, Miaka inavyozidia, wazidi kudanganywa, Hata kile kilojaa, huishia kumumunywa, Ndoa zingine kunyonywa, na huku unadanganywa. Kwa dini au sheria, harusi yenu hufanywa, Ahadi mtazitoa, mkatae kusengenywa, Na mafunzo mtapewa, na wazazi mkakanywa, Ndoa...
  10. kifrogi

    Mbowe asita kususia posho

    Naanza kupata masha juu ya mpiganaji wetu kumbe mambo yenyewe yako hivi?
  11. kifrogi

    ?Issey Miyake L'Eau Bleue

    Nenda JM Mall ground floor kama unaenda kwenye super markert on your right hand kuna pharmacy inaitwa ACD wanauza vitu vya ukweli au ulizia msikiti wa ibadhi haupo mbali na jm mall kwenye maduka ya msikiti kuna duka la manukato ndio duka pekee hapa dar lililo speshelaiz kwenye manukato.
  12. kifrogi

    Uhamiaji yaomba wananchi kuwataja Wahamiaji haramu nchini

    Wanaotoka kusini wote sio watanzania, wa kaskazini ni wa kenya, waganda na upande wa magharibi kwa kina mheshimiwa jepesi wengi ni wacongo, wanyarwanda na warundi kusini mashariki ni wenyeji wa nchi za msumbiji na maputo. Labda wenyewe ni wagogo. Nadhani tukianza kuchokoana tunakotoka basi nchi...
  13. kifrogi

    Wingu na Mbingu

    Kwenye bold ninashaka wewe u dini gani Ndoa na mapenzi si mashaka ikafanyiwa matani Tigo utoe wewe yeye atampa ya pajani Wewe huna ya pajani labda ukachonge japani
  14. kifrogi

    Wingu na Mbingu

    Wingu = Cloud Mbingu = Sky Wingu likiwa jeusi ni dalili ya mvua Mbingu ikiwa clear (blue sky) maana ni vipindi virefu vya jua!
  15. kifrogi

    Wingu na Mbingu

    Ndoa bila rungu ni kama govi na mzungu Hivi ndiyo ilivyo kwa wanaojua mizungu Tena ukutane na rungu liloota magugu Utajisikia hamu kushinda ile ya njugu Kama hunisadiki waulize machangu Shairi umelisoma, na pia umefahamu Kama bado hujakoma, jina lako chakalamu Yakikukuta ni noma, iweke yako...
  16. kifrogi

    Wingu na Mbingu

    Kabla ya harusi huwauliza bibi na bwana harusi Ikiwa wanajuana mashangazi watachinja mjusi Wageni watazugwa kwa mahanjumati na juisi Wallikwa tutafurahi huku tukigongeana gilasi
  17. kifrogi

    Wingu na Mbingu

    Shukran mkuu
  18. kifrogi

    Wingu na Mbingu

    Mashairi yanasema, mengi yanatuambia, Kwa watu wenye hekima, kauli huzizingatia, Na palipo waadhama, waidha huzingatia, Mashairi yanasema, asosikia kiziwi! Msigeuze mapenzi,yakawa ni mkurumbasi, Isirafu damisi,kwa shehe na makasisi, Mjukuu Ibilisi, kisirani na nuksi, Mapenzi kama hadithi...
  19. kifrogi

    Maajabu Nape na Mkama wasababisha foleni kuelekea ITV

    Mkuu samahani hapo kwenye nyekundu unaamanisha Serikali na dola ni vitu viwili tofauti sio ni house na nyumba?
  20. kifrogi

    Maajabu Nape na Mkama wasababisha foleni kuelekea ITV

    Una maana jamaa hatawauliza haya maswali ama?
Back
Top Bottom