A day before, (Tuesday) the same newspaper had a similar article as its lead (`Experts: Why furore over BoT's residency?) which suggests that the owner of the newspaper must be behind this crap for God knows reasons. Perhaps this kind of campaign will lead to exposing the real Reginald Mengi in...
Si vibaya kurejea mafanikio yako, ama uliyochangia kazini. Lakini, pamoja na mapungufu kadhaa katika utendaji, naona Sakina amefanya jambo la maana kurejea hayo yote anapoamua kuacha kazi. Pengine hili litamkumbusha Mzee Mengi kuwa hawezi tu kufanya chochote kwa waajiriwa wake kwa sababu tu ana...
Ndugu wanajukwaa,
Nimefuatilia suala la DECi kwa shauku toka kabla halijaanzwa kuandikwa na magazeti na hata baada ya hapo. Ninashawishika kusema kuwa kuna habari nyingi sana tunafichwa juu ya suala hili lote hasa kwenye fedha. Habari zilizopo ni kuwa wanachama wa DECI ni zaidi ya 700,000 na...
Im my opinion, Govt opinion didn't come at the most opportune time. Regardless of whether Mengi was right or not in shaming the prominent businessmen, the ministers should have atleast considered how to respond if at all there was a need to do so. There are so many things to look at when...
Ndugu zangu, nafikiri tunahitaji kutafakari kwa kina ripoti ya tume ya waandishi. Nina mashaka kama ripoti hii ndio inaelezea ukweli wa mambo yaliyotokea kwenye mazishi ya Mh. Wangwe. nakumbuka vyombo vyote vyote vya habari vilitangaza kuwako kwa vurugu na sio magazeti haya machache ya Kiswahili...
Nina wasiwsi mkubwa na hii tume pamoja na matokeo ya utafiti wao. Kwanza; tuliona kwenye televisheni vurugu na Mbowe na wengine wakisaidiwa kuingia kwenye magari ya polisi. Sijui hili wanakana namna gani. Pili magazeti mengi (na si Nipashe na Majira ambayo George Maratu anayaandikia kama...
Naona matatizo makubwa mawili
1. Habari hii imeandikwa kwa ushabiki na kujikomba kwa hali ya juu
na kwenda kinyume kabisa na maadili ya uandishi. Inanikumbusha siku chache zilizopita mchora katuni wa Kenya alivyochora waandishi wa habari wa Tanzania wakimlamba miguu Rais Kikwete.
2...
Zambian vice president denies Mwanawasa dead
Thu Jul 3, 2008 12:31pm BST
LUSAKA (Reuters) - Zambian Vice President Rupiah Banda on Thursday denied media reports that President Levy Mwanawasa had died.
"The news reports... are not true," Banda said in a statement, adding that Mwanawasa's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.