Search results

  1. capitalcity

    Top Universities in Tanzania and in Africa

    Mkuu ulishawah Disco Mzumbe nini maana unajazba napo asee......
  2. capitalcity

    Kendrick Lamar is overrated

    Speaking of ku underestimate uwezo wa Kendrick wa Kurap na Kuandika, sijawah mchukulia poa au kuhisi kuwa ha deserve kuwa hapo alipo. Kendrick ana vitu vyake hadimu sana ukiviskia unakuna kichwa mf. "Hi Power, Money trees, Sing about me" na zingine kali, sema hii style yake ya kubadilika kwenye...
  3. capitalcity

    Ni Mimi Blagoveshchensk nikaribishe

    Nashukuru Umekaa Miaka Mingi Mbele na Bado Unakiswahili Cha Kimtaa Kabisa, Umeonyesha Uzalendo Wa Hali Ya Juu. Karibu Sana Mkuu
  4. capitalcity

    Mapenzi: Nini Hupelekea Victims Kurudi Kwa Abusers Wao?

    Hii Kitu Inaukweli Ndani Yake
  5. capitalcity

    Undugu wa mashaka. Read the story, vaa uhusika na give your thought.

    Kama unademu kwenye hyo familia akisema aje kwako si wanakuja wote kukutia hasara hao....
  6. capitalcity

    Siku niliyoshindwa kusimamisha na kupiga Game

    Hii show mlipigia jukwaa la wazi nini..?
  7. capitalcity

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Mwenye uzoefu na Subaru, impreza WRX STi, naomba kufahamu bei yake, fuel consumption na ni model ipi nzuri
  8. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    Shukrani kwa maelezo ya kina
  9. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    Ukosahihi kabisa Ushauri wa daktari unaumuhimu baada ya vipimo na recommendation ya dawa
  10. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    sasahii ndugu hii ni inatumika kama dawa ya kawaida au.. na vipi hiyo gas sijaelewa bado inakuaje kuaje na anatakiwa kutumia mtu mwenye stage ipi ya pumu..?
  11. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    Hii nilishafanyaga ila niliiishia njiani maana nilikuwa nasafiri safiri kipindi hiko
  12. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    Hapo nimekupata mkuu, pia itabidi nirudi kwa wataalam kufanya vipimo zaidi ili nijue kwa sasa niko stage gani
  13. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    Nadhani utumiaji wa dawa flani hasa za hospitali inategemea na condition au stage ya Pumu iko kwa kiasi gani, mf. sindano na hizo inhaler zinatumika mara nyingi na watu walio na critical conditions sasa nadhani nilivyoambiwa kuacha kutumia hivyo kwa namna moja au nyingine ilionekana kwa...
  14. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    I Inamaana ni dozi ya maisha sasa haina mwisho
  15. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    Binafsi huko hospitali nimeshazunguka pia, kunakipindi nilipimwa vipimo kadhaa na kupewa dozi ya kipindi kirefu ila dozi ilipoisha baada ya muda flan mashambulizi yakawa yanarudi taratibu.
  16. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    I can feel the pain mzee kama hatojali ajaribu pia inaweza msaidia, pumu sio nzuri hata kidogo
  17. capitalcity

    Msaada: Kuhusu ugonjwa wa pumu

    Ngoja tuwasuburi nao pia
Back
Top Bottom