Search results

  1. B

    Ongeza maarifa kwa kupata kitabu e-book (softcopy) za mwongozo wa kilimo bora cha kisasa au Ufugaji bora wa kisasa kwa Tsh 2,000 tu kwa kila kitabu uk

    Ongeza maarifa kupitia mwongozo wa vitabu vya kilimo bora cha kisasa na ufugaji bora wa kisasa kwa Tsh 2,000 tu kwa kila kitabu. ( e-book) Vitabu hivi vipo kwenye mfumo wa softcopy (pdf) na utatumiwa kwa njia ya WhatsApp baada ya kuthibitisha kutuma Tshs elfu mbili tu kwa na kusema kitabu...
  2. B

    Anaeweza tukafanya Partnership kwenye kilimo cha mpunga

    Mim ni mkulima nina muda wa miaka minne katika kilimo cha mpunga, mkoa wa Morogoro wilaya ya Mvomero, tarafa ya Turiani, na ndipo shamba lenyewe lilipo ukubwa wa heka nne (4) na nusu. Kwa msimu huu unaokuja nguvu imepungua hivyo nikaona nitafute mshirika tunaeweza kuweka misingi ya miongozo kama...
  3. B

    Nafasi za kazi za Customer servive Shabiby Dodoma

    Nafasi za kazi kwa waliosomea astashahada ya customer care services na ni wakazi wa DODOMA , mnaweza mkajaribu fursa yenu hiyo
  4. B

    Madhaifu ya barua inayosambaa mitandaoni kuhusu wizara na mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam

    Kuna barua inayosambaa sana kwenye mitandao mbalimbali inayoeleza taarifa kwa vyombo vya habari. Lakini ukiisoma vizuri barua hiyo utagundua aliyeandika barua hiyo imeeleza tu imetolewa na wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, lakini imeandikwa na nani , cheo chake ni kipi...
  5. B

    Tangazo la kazi halmashauri wilaya ya Ulanga kwa nafasi za katibu mahsusi, na dereva na mtunza kumbukumbu

    Halmashauri ya wilaya ya Ulanga imetangaza nafasi za kazi kwa fani tajwa hapo juu. Wenye kada husika mnaweza kutembelea
  6. B

    Waliofanya oral intreview MUHAS 24/9/2018 vip kuna walioitwa tayari?

    Habari za majukumu wapendwa. Siku ya Jumatatu tarehe tajwa hapo juu, sekretarieti ya ajira iliendesha usahili tajwa, kwa kada mbalimbali pale MUHAS, nataka kujua kwa wale waliopata teyari shavu la Mungu kuwaona, wameshapewa taarifa teyari?
  7. B

    MAJINA YA KUITWA KWENYE USAILI (INTREVIEW) MUHAS YAMESHATOKA KWA WALIOOMBA

    Kwa wale wote walioomba nafasi za kazi katika tume ya utumishi wa umma MUHAS, watembelee website ya utumishi wameshatoa majina. Hii itawahusu na wale waliokuwa wavivu kuingia kwenye website ya utumishi mara kwa mara huku wakiwa wameomba ajira.
  8. B

    Msaada jamani ninatafuta kazi nimesoma course ya social work

    Habari za majukumu. Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 36 nilihitimu diploma ya social work katika chuo cha Ustawi wa jamii kilichopo, Kijitonyama - Dar es salaam mwaka 2009. Nilifanikiwa kufanya kazi katika mradi wa Tunajali kama OVC focal person kwenye upande wa watoto yatima na wanaoishi...
  9. B

    Njia mbili za uzazi wa mpango huenda ukawa huzijui

    Habari za majukumu wapendwa. Niliwahi kudadisi kuhusu njia za uzazi wa mpango hususani wanazotumia wanawake kama ya vidonge, vijiti, vitanzi, na kuyapata matokeo ya walio wengi wakilalamikia madhara ya kama kubadilika kwa siku ghafla, uke kuwa na maji, tumbo kuwa kubwa mfano manyama uzembe...
  10. B

    Natafuta soulmate

    Inaweza ikawa kwa fikra za kawaida ukajiuliza nikaapo hawapo mpaka nitafute hapa?, lakini when you search someone to be your wife your never know utakutana nae kwenye mazingira yapi!, natafuta ambaye even her eyes closed but her heart still open. Vigezo no kuanzia maji ya kunde in nature...
Back
Top Bottom