Bakariforever
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 510
- 509
HALMASHAURI ZIMEPEWA KIBALI CHA KUAJIRI WA WATUMISHI KADA ZA CHINI KAMA MADREVA, WATENDAJI, WATUMISHI WA MASIAJAL (WATUNZA KUMBUKUMBU), WAHAZILI N.K CHINI YA USIMAMIZI WA SECRETARIET YA AJIRA.Hivi kwanini halmashauri huwa wanaajiri hizi kada tatu sana je ni kutokana na watu wanaachia ngazi sana,nguvu haitoshi,au kipi hufanya iwe hivi kuliko kada nyingine hasa katika hizi Halmashauri maana sijawahi ona wanatangaza kada nyingine mfano Uhasibu,Uchumi,Afisa biashara,Mhandisi n.k
Duuuuh kumbe ndio hivyo aiseeeeehALMA
HALMASHAURI ZIMEPEWA KIBALI CHA KUAJIRI WA WATUMISHI KADA ZA CHINI KAMA MADREVA, WATENDAJI, WATUMISHI WA MASIAJAL (WATUNZA KUMBUKUMBU), WAHAZILI N.K CHINI YA USIMAMIZI WA SECRETARIET YA AJIRA.
KADI ZA KITAULUMA KUANZIA MAAFISA AJIRA ZAKE ZIPO CHINI YA SECRETARIET YA AJIRA MOJA KWA MOJA.
Leo nimepata jibu mkuu na vipi kuhusu wizara ajira zao wanachakata nani maana sijawahi ona wizara mbalimbali mfano ya fedha n.k ikitangaza nafasi za kazi ila tu watu huwa wanaajiriwa hii inakuaje pia kama unafahamu mkuu?hALMA
HALMASHAURI ZIMEPEWA KIBALI CHA KUAJIRI WA WATUMISHI KADA ZA CHINI KAMA MADREVA, WATENDAJI, WATUMISHI WA MASIAJAL (WATUNZA KUMBUKUMBU), WAHAZILI N.K CHINI YA USIMAMIZI WA SECRETARIET YA AJIRA.
KADI ZA KITAULUMA KUANZIA MAAFISA AJIRA ZAKE ZIPO CHINI YA SECRETARIET YA AJIRA MOJA KWA MOJA.
Ajira zote za taasisi za Umma zipo chini ya Secretariet ya ajira. Taasisi zinapeleka mahitaji yao Utumishi, then utumishi wanawasiliana na hazina kuhusu wezo wa kifedha wa kuweza kuajiri. Baada ya hapo wanawasilisha mahitaji secretariet kuzingatia uwezo wa kifedha baada ya mashauriano na hazina. hata hizo za Halmashauri zinatolewa kulingana na kibali cha hazina na utumishi.Leo nimepata jibu mkuu na vipi kuhusu wizara ajira zao wanachakata nani maana sijawahi ona wizara mbalimbali mfano ya fedha n.k ikitangaza nafasi za kazi ila tu watu huwa wanaajiriwa hii inakuaje pia kama unafahamu mkuu?
Nimekuelewa vizuri mkuu.ShukraniAjira zote za taasisi za Umma zipo chini ya Secretariet ya ajira. Taasisi zinapeleka mahitaji yao Utumishi, then utumishi wanawasiliana na hazina kuhusu wezo wa kifedha wa kuweza kuajiri. Baada ya hapo wanawasilisha mahitaji secretariet kuzingatia uwezo wa kifedha baada ya mashauriano na hazina. hata hizo za Halmashauri zinatolewa kulingana na kibali cha hazina na utumishi.