Search results

  1. big galacha

    Nauchukia Mwili wangu: Naombeni Msaada.

    Lis ckushauri utafute kujinenepesha! Me camin kama ni kwel haupendezi, na kama ni kwel labda tatizo linaweza kuwa ni uchaguzi wa viwalo! Me nakushauri utafute fashionist akupe guide ya kuvaa nguo zinazoendana na mwili wako!
  2. big galacha

    kukataa 2 posho inatosha?

    habari zenu great thinkers! Nataka 2jadili hili suala la kukataa posho! Me kwa upande wangu nimeona CDM wako sawa ila tatizo ni kuwa zile hela walishatengewa wao kwa ajili ya posho zao. Tatizo linakuja je wana uhakika gani hizo pesa walizokataa zinarudishwa hazina na zinapelekwa kwenye mirad...
  3. big galacha

    Mawazo wanaJF

    ni kwel nampenda sana na haya yote yameanza baada ya kumuonesha waziwazi jinsi ninavompenda kwan hapo mwanzo nlikuwa nikimuuliza ki2 kama hicho anajibu fresh bt now fulu kuringa!
  4. big galacha

    Mawazo wanaJF

    Habari zenu wanajamvi! Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili! Nina GF wangu yuko Arusha me nko Mwanza, huyo binti 2likuwa 2naelewana sana na ofcourse alikuwa anaonyesha kunipenda na pia kunijali lakin kulikuwa na tatizo kuwa mara nyingi nikimpigia nakuta simu iko busy na nilivomuuliza...
  5. big galacha

    Namtafuta Dr. Isack Muro

    kama vp nenda hospitalini kwake iko moshi karibu na stand kuu inaitwa Kilimanjaro first health!
  6. big galacha

    Salama Jabir yuko wapi siku hizi?

    Wadau nilikuwa naomba kama kuna anaejua Salama jabir wa planet bongo anajishughulisha na nini sa hv baada ya kutoka Uingereza a2julishe!
  7. big galacha

    Brain za Prison Break

    t-bon??????? Pb mpya nini hyo uloangalia?
  8. big galacha

    Nashindwa Kumwambia

    Wanasema neva stop for less bt 4 da best! Huihitaji kuumiza akili sana au kuandika barua wala nini we kama kwel unampenda tafuta cku umwambie ukwel face 2 face!
  9. big galacha

    We are Sexually Incompartible!! Ndoa itadumu

    Wat mataz ni m2 unaempenda? Je ni m2 ambaye unaweza kuishi mkaelewana na kujenga familia bora? Ngono c suala la msingi kiivo kwan ni nusu saa kati ya masaa 24 ya kuishi kwa siku! Kabla ya kufikiria kumpata anaejua kufanya mapenzi jiulize kwanza uko tayari kuish maisha yasiyo na aman kwa masaa 23...
  10. big galacha

    Comparing: Lowassa vs Pinda

    Lowassa co fisadi ila ni tajiri! Kujiuzulu ni kwa kuwa 2 kama kiongoz mkuu alikubali kuchukukua msalaba ulosababishwa na uzembe wa waliokuwa chini yake! Hii ni sifa ya kiongoz bora japokuwa kwa Tanzania alitakiwa aendelee kwa kuwa alikuwa mchapakaz na kiukwel m2 mchapakaz ndo anayehtajika kwa...
  11. big galacha

    Wema Sepetu ataka kugombea ubunge

    This gurl ana confidence sana, endapo ataamua kupunguza scandal zake na kuamua kwel kuingia kwe politics atakuwa mwakilish mzuri sana!
  12. big galacha

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    we ndo mkali wangu feedback utapata kila nkipima mwana
  13. big galacha

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    thanks top thinker
  14. big galacha

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    kwani wadada wanapenda kupigwa vidole?
  15. big galacha

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    hayo mazoezi yananivutia zaid! Hv ndo inakuaje tena Gazet?
  16. big galacha

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    sure mwanangu! Me niko criaz kwel yani
  17. big galacha

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    ndo nini hzo? Hazina side effects?
  18. big galacha

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    kunani kwani shosti?
  19. big galacha

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    ucnambie hata dogo linakuna fresh 2?
  20. big galacha

    Nitaongezaje ukubwa wa jembe?

    Yani kiukwel cfuraìshw na ukubwa wa dude langu! Embu wadau nisaidien namna ya kuliongeza ukubwa bila ku2mia dawa za wamasai au za kihindi!
Back
Top Bottom