kukataa 2 posho inatosha?

big galacha

Member
Jun 1, 2011
27
2
habari zenu great thinkers!
Nataka 2jadili hili suala la kukataa posho! Me kwa upande wangu nimeona CDM wako sawa ila tatizo ni kuwa zile hela walishatengewa wao kwa ajili ya posho zao. Tatizo linakuja je wana uhakika gani hizo pesa walizokataa zinarudishwa hazina na zinapelekwa kwenye mirad ya maendeleo? Na kama zinapelekwa zinaliwa kiasi gani kabla ya kufika kwa raia? Me nilikuwa naona kwa kuwa wao wameamua kukataa na kwa kuwa wameshatengewa hzo hela wangezichukua na kuanzisha mifuko ya maendeleo ya jimbo inayosimamiwa moja kwa moja na mbunge husika! Au nyie mnaonaje wakuu?
 
Back
Top Bottom