Search results

  1. M

    Describe your ex only with movie titles..

    A walk to Remember
  2. M

    Urgently needed Tutor!!

    Siku nyingine kabla hujaandika Tangazo la kazi angalia wenzio wanaandikaje then coppy and paste sio u atuandikia Tangazo utadhan umelazimishwa.
  3. M

    Urgently needed Tutor!!

    Hamna jipya hapa
  4. M

    Baf ya st john na baf ya mzumbe ipi kali?

    Teh teh teh daah kweli tutafika jamani et ipi kali Unataka uombe uamisho?
  5. M

    Muccobs hostel hazizingui?

    Hostel za MUCCoBS ni tatizo hasa wa watoto wa kiume but kwa wadada kupata ni lazima. Sema kuna hostel za watu binafsi nje ya chuo japo si mbali na chuo ambapo ukiwahi waweza pata chumba cha watu 4. Gharama za hostel ni 165000tsh kwa hostel za ndani na za nje ni 200000tsh.kama ni mvulana mi...
  6. M

    "dont think am stupid"

    Kweli Mapenzi yana raha na karaha yake.safar hii nimeamini
  7. M

    "dont think am stupid"

    Habari zenu wadau Juzi tulikuwa tunazungumza na mpenzi wangu katika maongezi kuna story nikawa namsimulia then nilipomaliza akaniambia "hivi we utajisikiaje endapo mtu unaempenda anakudanganya"?nilichomuuliza ni kuwa unadhani nilichokuwa nakwambia nakudanganya? Akabisha basi nikamwambia mama mi...
  8. M

    Ushauri kuhusu accounting na I.T

    Ushauri kw wote. Unapotak kusoma corse jaribu kuangalia Matokeo ya iyo corse Miaka mitatu kutoka sasa mtakuwa Wangapi Sokoni.ACCOUNTING imekuwa ndo corse ya kukimbilia.takriban kila chuo ki a degree ya Account sasa.pia jaribu Kuangalia Corse inayoweza kukupa Uwezo wa kujiajiri na si kuajiliwa...
  9. M

    Msaada wa Research title

    Huwa naona kuna tatizo katika interest ya kimaslah kati ya Bank na guarantors.sasa hiyo pia yaweza kuwa Research Gap Lakini pia Performance ya Revolving Fund kwa Hizo SMEs waweza itengenezea Gap. Kwa Ushauri mkuu jaribu kusoma Vitabu vya Small micro enterprise utapata mwanga mzuri
  10. M

    Msaada wa hostel za master udsm

    Masters UDSM huwa kuna hostel zao special nadhani na huwa hazina shida sana mkuu
  11. M

    hili tatizo inabidi liangaliwe mapema sana tunakoelekea pabaya

    Sijawahi fikiria kama bado kuna watu wana akili mbovu kama huyu jamaa.ulitaka chuo wasome wenye div ngapi sasa? Tatizo hujafika chuo thats why unalopoka ngoja uende na hiyo One yako alafu uwakute wenye hizo Div 3:14 na watakukimbiza mpaka uombe wakufundishe. Umejishusha sana aisee.kupata one...
  12. M

    Mwana muccobs hebu pita hapa kwa mpigamsuli

    Kama walivyokuelekeza wadau wengine wapo sahihi kabisa. Angalizo tu nakupa MUCCoBS elimu yake mziki ndugu yangu asikwambie mtu and hamna corse rahisi pale so pamoja na mishe mishe zote but jiandae kwenda kusoma kweli
  13. M

    silver ITALY gram 30 sokoni

    Weka picha and be specific in price
  14. M

    To anyone,,,Application Letter

    Bro nimekukubali umesom language nini. Kijana fuata ushauri huu
  15. M

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    Kiukweli President wetu ana Mazuri yake ila washauri ndo Tatizo. Mie ntamkumbuka kwa Kuongeza Vyuo vikuu nchini
  16. M

    Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

    Dola 250 kwa hoteli kubwa ni pesa ya kawaida sema wabongo tukijiangalia hali zetu alafu tukiitafsiri hiyo pay ndo tunaanza kuongea sasa. Je alikuwa kaenda kikazi au mapumziko?
  17. M

    Goli nyingi

    Hi Hivi ni kwanini wanawake wengi wa Kibongo wanapenda kupigwa bao nyingi katika mambo ya sita kwa sita? Wenzetu wazungu wanapenda goli chache labda mbili but ziwe za uhakika je Vyakula tunavyokula vinachangia?
  18. M

    Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

    Sijawaelewa hapo why wasamehewe kodi hii si itaongeza gape kubwa sana kati ya walionacho na wale wasionacho?
  19. M

    Hakikisha Watoto Walala Kabla ya........

    Hapo hakuna mtoto aisee.
Back
Top Bottom