Search results

  1. desmond dekker

    App gani nzuri ya kudownload music kwenye iphone?

    wazima?natumai mmekuwa na jumapili njema.naombeni msaada kama kichwa kinavoeleza..ni app gani nzuri ya kudownload nyimbo kwenye simu za iphone?karibuni..
  2. desmond dekker

    Naombeni ufafanuzi katika hili

    Wadau hali vipi?Poleni kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja nawasilisha swali ambalo kwa muda sijapata jawabu lake.kuna huyu msemo ambao wanamuziki wanapenda kuutumia sana "kumwaga radhi". Hivi ni nini maana yake ?naomba ufafanuzi tafadhali nisije nikavuruga lugha yetu pendwa kwa kuutumia...
  3. desmond dekker

    Nawapongeza sana

    habari za saa hizi wanajukwa?moja kwa moja nielekee kwenye mada katika maisha ni kawaida kumpongeza yeyote mwenye jitihada katika mambo ya kawaida.ila huwa tunasahau kuwapongeza wenzetu kutokana na hekima na busara zao katika mambo mbali mbali.leo ningetaka kuwapongeza WANAWAKE kadhaa humu sio...
  4. desmond dekker

    Tanzania tuna mzaha uliopitiliza

    Hivi ni kitu kama hichi kilichoshikiliwa kwenye nchi za watu? Hivi vimeo vya Tanzania sio kabisa. Kama ndio usafiri wacha nisiende huko ughaibuni manake hiki kimeo chaweza kupotelea hewani. Hapa watanzania tumeshaingizwa mkenge. Tumenunua madebe yaliyotumika kwenye world war 1 eti...
  5. desmond dekker

    Kenyans among top 3 most generous people worldwide

    EAGLE HEADLINE LATESTARABICFRENCHENTERTAINSOCIETYSTORYDISCUSSLIFESTYLE Kenyans among top 3 most generous people worldwide September 7, 2017 Eaglechat [http://public] The country improved from position 12 last year and increased by eight percentage points from 52 per cent to 60 per cent...
  6. desmond dekker

    mnipokeeni mwenzenu nimetia mguu

    wana jf hamjamboni?ni member mpya nimetokea kijiji cha vibamba Tanga. kwa sasa niko Arusha kikazi.tena nawaombeni mnisaidie kupata mke mzuri mwenye maadili.umri wangu 27 yrs.nimeajiriwa kwenye mojawapo ya taasisi za serikali na tayari nimeshajenga nyumba ya kuishi.natafuta mke ili tufurahie...
Back
Top Bottom