App gani nzuri ya kudownload music kwenye iphone?

App gani nzuri ya kudownload music kwenye iphone?

desmond dekker

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
201
Reaction score
246
wazima?natumai mmekuwa na jumapili njema.naombeni msaada kama kichwa kinavoeleza..ni app gani nzuri ya kudownload nyimbo kwenye simu za iphone?karibuni..
 
sasa hii roho mbaya.watu mna maajabu.mwenzio naomba msaada wala hamna yeyote anaweza kujitokeza?
 
Uwezo wa akili yako umefikia hapo ndio maana hata kudownload nyimbo huwezi
we huna lolote bwege wee.ka huna idea shut up your fucking mouth sio kumwagamwaga uharo wako hapa.mi mkorofi ujue,tusizinguane nitakuaibisha humu saivi
 
Kama huko na pc ni rahisi ,pakua apps ya itune kwa pc yako kaa njia ya ku I google tyu kawaida (itune for window) then ukimaliza usi sign in kutumia apple id yako ....cha kufanya chukua usb connect kama kawaida fungua app ya itune fanya kuamisha nyimbo from pc to itune then i tune to phone,then music zako utazikuta kwenye sehemu ya music

Kama hii haiwezekani fanya kutumia audio mack una stream na ku download kwa apps kwa ajili ya offline
 
we huna lolote bwege wee.ka huna idea shut up your fucking mouth sio kumwagamwaga uharo wako hapa.mi mkorofi ujue,tusizinguane nitakuaibisha humu saivi
Sasa umuaibishe nani zaidi na zaidi utakua unajiaibisha mwenywe tu na akili yako ndogo isiyoweza hata kudownload nyimbo
 
Kibongo bongo iPhone ni jela.....Njoo android huku unashusha kila aina Movies, miziki na maujanja kibao ya kukufanya ufarahie simu.
 
Back
Top Bottom