Search results

  1. S

    Natamani kujua headlines za magazeti ya chama kesho zitakuaje

    "Lema shababi kwa CCM" Litaandika gazeti ambalo sio huru la kila siku la UHURU
  2. S

    Mkurugenzi Mkuu wa Bandari asimamishwa kazi!

    Waziri wa uchukuzi amemsimamisha mkurugenzi mkuu wa Bandari-TPA NDG Ephraim Mgawe pamoja na wasaidizi wake wawili kwa tuhuma mbalimbali zinazowakabili... wengine waliosimamishwa kazi ni meneja wa mafuta ya ndege kurasini,meneja wa JET NA meneja wa OIL TERMINAL Kutokana na kosa la kupotea mafuta...
  3. S

    Special resolution in TANESCO

    Hatimaye aliyekua mkuu wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Arudishwa kazini. habari ni uhakika kutoka kikao kinachoendelea kati ya PAC, WIZARA NA BODI YA TANESCO. seems huyu Eng alihujumiwa kisiasa. My quote. Kuna haja ya kuwa na bodi kama hii
  4. S

    Hatimae Sabodo achangia harusi.

    ndoa ya rais wa tano wa jamhuri kaka. Wewe unataka iwe ya kimanzese. Tunakula heinkein tu. Tbl hawez supply kitu, tunaagiza kwa mzee mabibo.
  5. S

    Ungependa kitu gani kiwemo kwenye katiba mpya?

    [QUOTE=binti ashura;3707636]ndugu zangu ni muhimu sana wote tushiriki katika uandaaji wa katiba mpya! itakuwa jambo la muhimu sana iwapo kila mwananchi mwenye ufahamu atoe mchango wake wa mawazo ili katiba itakayoundwa isiwe na vilakavilaka. mie ningependekeza hata kama wewe unanafasi fulani...
  6. S

    Ngeleja, Tulikupenda zaidi na tutakukumbuka sana

    Nimegundua hapa jamvin wanajamvi wengi ni maskini. Na sifa kubwa ya maskini ni kubweka. Mtabweka sana. Mwenzenu keshavuna.
  7. S

    Waziri wa Nishati na Madini

    Kabla ya kuteuliwa alikubali. Anajua madhara ya siasa za bongo. Cio ishu utoh atamlinda.
  8. S

    Katiba inamruhusu JK kumpa Ubunge Mbatia

    Ikitokea tutajua cha kufanya
  9. S

    Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

    Kweli siasa noumer. Acha niendelee kuchunga kondoo wangu kanisani.
  10. S

    Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka...

    Labda agrey mwanry
  11. S

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Rip kanumba, ila kama ni kweli ulikua unagombania nanihiiiii. Mungu akurehemu
  12. S

    hukumu kesi ya lema

    Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza
  13. S

    hukumu kesi ya lema

    Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza
  14. S

    Pongezi kwako Vincent Nyerere!

    mtoto wa nje wa familia ya mwalimu kama alivyonadi mzee wetu,baba yetu Beny, ameleta balaa kubwa sana Arumeru, navyokuambia hivi sasa kuna kikao cha siri cha wanakamati ya uchaguzi ya CCM wakitafakari nini kilichotokea, wanalaumiana wao kwa wao. "vita vya panzi furaha kwa kunguru"
  15. S

    Nape Nnauye: Tumehujumiwa..

    Nape yupo sahihi, kweli kabisa kuna wana ccm hawakubaliki katika jamii.
  16. S

    Kuhusu Bikira

    Ki ukwel Mi nlishamvunja mtu hiyo kitu, ila hataki hata kuniona, eti kisa kitu yangu ina ujazo wa Pipa
  17. S

    TanzaniteOne yaajiri mtoto wa Kamishna wa Madini

    Nijuavyo huyu baba hana mtoto wa kiume na hana mtoto mkubwa mkubwa wa kuajiliwa. Kwanini usifanye uchunguzi kwanza kabla ya kulletea jamii tetesi zilizo kaa kiumbea umbea? are u sure unawafahamu watoto wake wote,hadi wa nje ya ndoa.acha zako bana, ucijiamini katika hilo
Back
Top Bottom