Search results

  1. M

    Aina 20 za wasichana lazima utumie kondomu

    Kama ana smartphone na kiswaswadu pembeni chenye passcode, vesha 3 bro tena ambazo hazina flavour
  2. M

    Aina 20 za wasichana lazima utumie kondomu

    Kama anajua kuidondokea, condom bro[emoji16]
  3. M

    Anataka penzi la kisela

    Hii ishawahi nikuta aisee, unatongoza dem anakwambia fresh ila niko na mtu kama utakubali "we will find a way to each other". Wadada wameanza kua na moyo wa kiume kupata one night stand kwa pisi ishakua kawaida na anakua comfortable kabisa.
  4. M

    Vitu gani ambavyo ni mtego?

    Mwaga maji tu natumia njiti, mtego uo.
  5. M

    Series (Special thread)

    Tumia hii app, ipo playsore kama unatumia android inaitwa Onstream
  6. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Half time Chelsea 2 - 0 Fulham (T.Silva 19' Nkunku 41')
  7. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea tuko live 0-0 Vs Fulham
  8. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ipo lakini ina matangazo sana katikati ya mechi, katafute apk link yake Google uidownload ndo uinstall
  9. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Football Live Hd
  10. M

    Nataka kuanza biashara ya tofali

    Unaweza ukaanza nayo mkuu, kama eneo lako Kuna wapigaji wa izo bambam sawa, maana maeneo mengne mafundi wa kukupigia kwa bambam ni shida kuwapata wengi wameshaamia kwenye mixer na vibrator mashine.
  11. M

    Nataka kuanza biashara ya tofali

    Pamoja mkuu, kila la kheri.
  12. M

    Nataka kuanza biashara ya tofali

    Kwenye gharama zake, hapo hutofautiana eneo na eneo. Mfano Dsm kuchongesha vibao vya tofali ni 1200-1500 each.
  13. M

    Nataka kuanza biashara ya tofali

    Vifaa vinavyohitajika ni mixer ya kuchanganyia udongo, vibrator machine ya kufyatua tofali, vibao angalau 1000 vya kuanzia, tank la kuhifadhi maji na uchimbe kisima na kufunga mota ya kupump maji kwenda kwenye tank na kupeleka kwenye umwagiliaji. Pia utengeneze box za tofali inchi 4, 5 na 6...
  14. M

    Ball boys wa Uarabuni

    Hii comment yako ipigwe lamination ikabandikwe pale jangwani umemaliza kila kitu, I appreciate your critical thinking.
  15. M

    Nifanyeje kupata Control Number mpya kulipia leseni ya Biashara baada ya Control Number ya awali kuisha muda wa Matumizi?

    Mkuu kwa sasa maombi yote ya leseni mpya ya biashara yanafanyika mtandaoni kupitia tovuti yao ya tausiportal.com
Back
Top Bottom