Kwa upande wangu mimi,ninauponge huo uongozi wa kijiji kwa hatua hiyo walio fikia ya mgao wa 10000.kutoka mapatato ya kijiji,na kama sikosei ndio cha kwanza tz kwa wananchi wake kupata mgao wa mafao ya kijiji. Hongera sana uongozi wa kijiji,inaonekana hata wakipewa nchi tutafaidika kwa mengi ya...
Hivi hizi taarifa zilipo tolewa kwa mara ya kwanza katika gazeti la SANI,ili chukuliwa kama kikatuni cha madenge vile !!. Sasa Mwakyembe kataja hawa wafanya bzns,ndio tuna kumbuka kuwa kumbe taarifa ya MADENGE ilikuwa sio kichekesho.
Kuna kesi ambayo inamuhusu kikongwe na tajiri feki mmoja hapa kilosa. Ina husu nyumba ya kikongwe ambayo huyu bwana anadai kuwa aliuziwa na mtoto wa kikongwe huyo ambaye kwa sasa ni marehemu. Kwa mara ya kwa kesi hii ilipelekwa mahakamani mwaka 1996 bila vielezo vyote. Na huyu bwana aliambiwa...
Ili kuwa kati ya saa 6 na 7 usiku,wakati wakitokea kwenye matumizi wakiwa ndani ya gari kulikua na mabishano ndipo alipo msukuma na kudondoka chini na yeye kuondoka zake. Bahati alitoke msamaria (polisi) akampeleka polis na badae hospitali alikolazwa
Takribani miaka 15 toka kampuni ya miyombo ilipo kufa tumepata wawekeza wawili wa kutukodishia mashamba ili tulime,mwaka huu tumezuiwa kufanya lote na kuambiwa kuna muwekezaji mpya anaye taka kulima zao la mtama. Sasa hii mikataba mbona haieleweki ikoje ?.
Hivi malipo halali ya kulipia mizani kwa mwaka ni shilingi ngapi ?. kwani hawa maafisa vipimo wanatuchanganya vijijini,uta daiwa 18000 hadi 30000/= kwenye stakabazi ya malipo unakuta 8000/= ukihoji jibu hupati. Hii ina kuwaje wakuu au na kwenu ipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.