Search results

  1. std7

    Webb box.

    Nimeona tangazo kwenye tv kuusu hiki kifaa.
  2. std7

    Mgao umekwisha au

    Tangu j,mosi umeme haujakatika mgao umeisha au.
  3. std7

    Mdahalo wa katiba live star tv

    Unahusu mustakabali wa muungano katika katiba mpya.
  4. std7

    Wanaongoza kwa kupigwa ban

    1. Baadhi ya wafuasi na mashabiki wa cdm. kwa sababu kukashfu na kutukana. 2. Baadhi ya watu wenye msimamo mkali wa kidini kwa kudharau na kubeza hata kutukana imani za watu wengine. 3. Baadhi ya wafuasi na mashabiki wa ccm. kwa kurudisha mashambuli na kujikuta wako nje ya mstari. au nje...
  5. std7

    Swali la leo.

    Hivi kwa nini baadhi ya wanachama cdm wanapenda kujibu hoja zinazokikosoa chama chao kwa keajeli, dharau, na hata kwa matusi. je? aidhihirishi wazi siku cdm ikiwa chama tawala itawanyamazisha wapinzani wao kwa gharama yeyote. naomba kuwasilisha ba ndugu.
  6. std7

    Movie na series unazozipenda

    Zangu hizi hapa. 1.24hour. 2.The seeker. 3.Robin hood. 4.Smillvile. hizi series unaweza kuangalia na familia. muv.1 Avatar. 2.Blood Diamond. nipe za kwako nikazitafute..
  7. std7

    Nitazipata wapi filamu hizi?.

    Nitazipata wapi hapa a town filamu hizi? darwin's nightmare na kiti cha damu. ya maandamano ya cdm. msaada tafadhali.
  8. std7

    kote nimepita lakini hapa natia nanga

    nimekuwa msomaji wa muda mrefu na leo kwa moyo wangu nimeamu kujitosa jamvini nikae na wenye hekima nami niwe na hekima kwani ndivyo ilivyo
Back
Top Bottom