Wanaongoza kwa kupigwa ban

std7

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,731
2,631
1. Baadhi ya wafuasi na mashabiki wa cdm. kwa sababu kukashfu na kutukana. 2. Baadhi ya watu wenye msimamo mkali wa kidini kwa kudharau na kubeza hata kutukana imani za watu wengine. 3. Baadhi ya wafuasi na mashabiki wa ccm. kwa kurudisha mashambuli na kujikuta wako nje ya mstari. au nje utaratibu na sheria jamvi. so NO.1 CDM. NO.2 WENYE MSIMAMO MKALI WA KIDINI. NO.3 CCM. na wewe endelea.. kuwaorodhesha pasi.. upendeleo.
 
Hii thread ina manufaa gani? Im just questioning ......
 
Ungeamua kukaa kimya nadhani ingekuwa vizuri zaidi,kuliko majibu utakayo yapata kutokana na upupu uliouanzisha/
 
Back
Top Bottom