Search results

  1. Btwiz

    Tyles za linglong zinauzwa wapi kwa bei ya jumla (size 15)?

    Naomba msaada wa kujua tyle za linglong zinapopatikana na bei zake kwa jumla , hasa size 15 na 14 . Massada wenu kwa anaefahamu
  2. Btwiz

    Mwenye kujua anijuze

    Natafuta-‘ bampa la mbele , complesa, na difu ( complete) Ya Gari Noah field tour. Naomba kukujuzwa gharama zake na zinapo patikana.
  3. Btwiz

    Msaada

    Hlw Naomba msaada wa kujua jinsi ya kupata vyuo vya afya vya selikali, Diploma in nursing, dada yangu alimaliza form six mwaka jana na kupata divion three 15-CBG. Mwaka jana ameomba awamu mbili kupitia nacte(online) alikosa tukajua amechelewa, mwaka huu mwez wa5 post zilivotoka tu akaomba tena...
  4. Btwiz

    Lengo letu sote ni kutafuta pesa, sasa kwanini wasomi mnatubeza?

    Mimi Nakereka sana na hii kitu. -Yaani mtu akienda shule hasa level za juu anajiona kamaliza dunia kweli yaani kila kitu anajua yeye.. Mimi naamni usome usisome lengo letu sote kutafuta pesa maisha.. sasa unamkuta mtu ana kadegree kake uchwara anaanza kuvimba. -Soma ukose ajira kwenu...
  5. Btwiz

    Nimuache au niendelee nae?

    Helow, Naomba msaaada kwa hii kitu inanitesa. Iko hivi; Kuna msichana nilianza nae mahusiano 2015 mwezi wa7 kipindi hicho ye yuko shule mi niko kitaa, baada ya kuhitimu mwezi wa11 akarudi kwao mkoa. Baada ya kuwa kule kijijini akampata mshikaji mwingine huku akiwa na mawasiliano na mimi mi...
Back
Top Bottom