Msaada

Msaada

Btwiz

Member
Joined
May 14, 2017
Posts
61
Reaction score
23
Hlw
Naomba msaada wa kujua jinsi ya kupata vyuo vya afya vya selikali, Diploma in nursing, dada yangu alimaliza form six mwaka jana na kupata divion three 15-CBG. Mwaka jana ameomba awamu mbili kupitia nacte(online) alikosa tukajua amechelewa, mwaka huu mwez wa5 post zilivotoka tu akaomba tena kwa kwenda vyuoni kabisa mfn Kibaha, tanga school of nursing,lakini bado amekosa. Nacte juz wametoa tena tangazo la post awamu ya pili. Anataka kuomba tena wasiwasi ni kukosa tena . Naombeni msaada ndugu wana Jf njia zipi za kupitia ili apate kwa vyuo vya selikali. PRIVATE UCHUMI WETU MDOGO.Mana sisi ni wakulima
 
aombe vyuo visivyo na title sana katika maombi yake aombe na certificate walau vyuo viwil vinginevyo atashindwa kwa sababu ya competition
 
aombe vyuo visivyo na title sana katika maombi yake aombe na certificate walau vyuo viwil vinginevyo atashindwa kwa sababu ya competition
Samahani mkuu naomba nitajie baadhi kama unavifahamu ivyo visivyo na title.
 
aombe st john ni private lakini kina ada nafuu kidogo
 
Mpe pole sana,,hyo pia iliwah nikuta mimi niliomba nacte nikakosa nikasubir nyumbani kama yeye...mwambie aombe st john au ruaha catholic ada zao ni nafuu sana kwa kozi za afya ukilinganisha na vyuo vingne vya private
 
Back
Top Bottom