Search results

  1. H

    Kwenu Moderators wa JF, mkitupiga ban muwe natuambia makosa yetu.

    Hapa nimepigwa ban lakini sijui kosa langu ni lipi. Alafu nimeshaona siku hizi hamtaki post zinazokosoa serikali. Uzi wangu wa mwisho niliouweka humu ni kuhusu walimu ambao hawakuchangia mwenge kuitwa na mkuu wa wilaya kutoa maelezo kitu ambacho ni kweli.
  2. H

    Chonde chonde TAMISEMI, suala la kuhamisha walimu wa sanaa mlifanye nyinyi wenyewe kuhepusha rushwa na kujuana

    Habari zenu wana JF, nipende na mimi kutoa la moyoni kuhusu hili suala linalowahumiza walimu wa sekondari masomo ya sanaa. Kusema ukweli baada ya kutolewa lile tangazo walimu tajwa hawana raha kila muda ni kuwaza namna ya kuhepuka hiki kikombe. Kwakuwa serikali imeshaamua hivi na sisi hatuna...
  3. H

    ANGALIZO: NECTA, mnahujumiwa na maafisa elimu. Badilisheni mfumo wa kuwapata wasimamizi wamitihani

    Kwa kweli nia ya dhati ya mheshimiwa Rais ya kunyoosha nchi inahujumiwa sana na watendaji wake. Leo napenda kuonesha madhaifu ya NECTA kutokana uzoefu wangu. i) Usimamizi wa vituo vya mitihani umegeuka kuwa madili ya maafisa elimu na wafanyakazi wa halmashauri. Wasimamizi wanapatikana kwa...
  4. H

    Ushauri; Rais Magufuli nakuomba uondoe ELIMU BURE, hali mbaya sana...

    Husika na mada tajwa hapo juu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kusema ukweli elimu bure inaharibu elimu zaidi ya kuboresha, wanafunzi wanazidi kuongezeka kila mwaka huku miundo mbinu hasa madarasa,vyoo na mabweni vikiendelea kuwa idadi ile ile. Hii inapelekea watoto kusomea nje huku wakisubiri...
  5. H

    Serikali mkoa Kagera ingilieni kati ili suala, hapa hakuna shule

    Shule hii imeanzishwa mwaka huu wilaya ya Biharamulo nakupewa jina la Kagango Girls' Secondary School. Lengo lilikuwa zuri la kupunguza idadi ya wanafunzi kutoka shule mama Kagango lakini baadae imeonekana yanatafutwa maslahi binafsi hasa kutoka kwa mkuu wa shule,ambapo harakaharaka alianzisha...
  6. H

    Wanawake badilisheni mtazamo,fanyeni kazi kutafuta kipato

    Nianze kwa kuwapa pole kwa tukio lilitokea leo,mhe. Tindu Lisu kupigwa risasi,hakika namuombea apone haraka. Niende kwenye mada,leo nimewiwa kuongelea hili suala la utegemezi kwa wanawake wa siku hizi. Wamekuwa wakilalamika sana kuwa siku hizi kuna wanaume suruali,hawatoi ela kibaya zaidi hata...
  7. H

    Sina msaada kwake hivyo sijiamini tena.Na yeye kashaanza kunionesha dharau

    Ni matumaini yangu mu wazima na jumamosi hii tulivu.Tatizo langu kwenye hii sekta ya mapenzi ni kuona nampoteza huyu mpenzi wangu niliyejua ndo atakuwa mke wangu.Tatizo hili limeibuka baada ya kuyumba vibaya kiuchumi,mwaka jana mwezi wa sita nilichukua mkopo NMB wa miaka mitano,Nikanunua kiwanja...
  8. H

    Biharamulo: Agizo la Rais kuhusu maji limeshindikana kutekelezwa

    #Biharamulo Ziara ya Raisi Magufuri na maelekezo aliyotoa kutatua tatizo la maji, alijapatiwa ufumbuzi! Ushauri kuondoa tatizo la maji in bora wavute maji kutoka ziwa Victoria au ziwa Burigi. Chanzo kilichobaki ni cha kijiji cha Rubondo ambacho foleni ni kubwa. Bei ya dumu 500-1000 ...
  9. H

    Mitumba bei ya Jumla; Wapi naweza kupata mitumba Grade A

    Habar za asubuhi wadau,mi mgeni kidogo hapa Dar.Baada ya kukaa muda wa miaka 2 bila ajira,imenibidi nitoke kijijin nije huku Dar ninunue mitumba ya Grade A ili niipeleke huko kijijini kuuza.Mtaji wangu ni laki tatu.Ninaomba mnielekeze wapi naweza pata mzigo.Hapa nilipofikia kwa ndugu wanadai...
  10. H

    Biharamulo; Tunapoelekea hali ni mbaya mno.Ukame.

    Tunaomba serikali ichukue hatua mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi kutokana na ukame. Maji yamehadimika sana,kila kukicha vyanzo vyake vinazidi kukauka na kiangazi ndo kimeanza. Hii hali inatokana na kutopata mvua ya kutosha kipindi cha masika.Serikali okoeni jahazi mapema.
Back
Top Bottom