Honest One
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 235
- 278
Tunaomba serikali ichukue hatua mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi kutokana na ukame. Maji yamehadimika sana,kila kukicha vyanzo vyake vinazidi kukauka na kiangazi ndo kimeanza. Hii hali inatokana na kutopata mvua ya kutosha kipindi cha masika.Serikali okoeni jahazi mapema.