Search results

  1. Makoye Matale

    Azam FC v Kagera Sugar na Toto Africans v African Sports

    Baada ya jana kushuhudia mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga kwa mara nyingine tena wakiwapitisha kwenye shamba lenye mbigiri wagonga nyundo Mbeya City FC, ligi hiyo inaendelea tena leo katika viwanja viwili. Azam FC watakuwa wenyeji wa Kagera Sugar kutoka Bukoba a.k.a 'Katerero...
  2. Makoye Matale

    Kibadeni in Action: Kili Stars 4-0 Somalia

    Huku familia ya wanasoka nchini Tanzania ikiwa katika maombolezo ya Taifa Stars kupigwa kipigo cha karne cha 7-0 na Algeria, timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) imeanza kupoza machungu ya maombolezo hayo baada ya muda mfupi uliopita kuifumua Somalia kwa bao 4-0. Magoli ya Kili Stars...
  3. Makoye Matale

    Mechi ya Kirafiki: Simba vs Mwadui

    Matokeo ya leo: Simba 0-0 Mwadui FC. Hakuna cha Niang wala mikia wengine! Julio: Simba bado sana, mashabiki wasitegemee jipya watabaki vile vile tu kama msimu uliopita na misimu mingine iliyopita. CC. Masuke, sembo, Katavi et al.
  4. Makoye Matale

    Top 2 underrated coaches

    Kwa maoni yangu, makocha hawa wako underrated: 1. Patrick Phiri - Simba 2. Kopunovic - Simba Na wewe Mkuu weka list yako.
  5. Makoye Matale

    Usidanganyike: Yanga ni Bora Kuliko Simba

    Tukiwa tunaelekea katika mechi za Ligi Kuu ya Vodacom 2014/2015 katikati na mwishoni mwa wiki hii na kwa kuwa ligi inaelekea ukingoni, si vibaya tukatupia macho yetu katika 'performance' za Klabu za Yanga na Simba ili kujua nani ni bora zaidi ya mwenzake. Timu zote (Yanga & Simba) zikiwa...
  6. Makoye Matale

    Live Updates: Azam FC v Mtibwa Sugar FC - 11/02/2015

    Leo tarehe 11/02/2015 majira ya saa 10 jioni kutakuwa na kipute cha aina yake pale Azam FC Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara watakapowaalika wakata miwa wa Mtibwa kutoka Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Mchezo huo utafanyika katika uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es Salaam. Azam...
  7. Makoye Matale

    Avumaye Baharini ni Papa: Kagera Sugar wahamia ShyTown kisa, ushirikina!

    Soka letu la Bongo liko katika msukosuko mkubwa wa imani za kishirikiana. Mara kwa mara Yanga imekuwa ikitajwa kujihusisha na vitendo vya ushirikina hasa baada ya Kavumbagu (akiwa Yanga) kugombania taulo la Ivo Mapunda likidaiwa kuwa linawazuia Yanga kupata magoli, vile vile kasi ya kuituhumu...
  8. Makoye Matale

    Young Africans SC v Shaba FC

    Timu ya wananchi, Young Africans Sports Club maarufu kwa jina la 'Yanga' usiku huu inashuka uwanjani kusaka pointi 3 dhidi ya Shaba FC ya Pemba. Kwa mujibu wa Jerry Muro alipoongea na Radio One Stereo, kutakuwa na sura ngeni za wachezaji ambao hawakupata nafasi katika mechi mbili zilizotangulia...
  9. Makoye Matale

    Kwako Jerry Muro: Shughulikia jambo hili fasta

    Napenda kutoa masikitiko yangu kwa uongozi wa timu yangu ya Young Africans Sports Club (Timu ya Wananchi) kwa jinsi ulivyotelekeza wavuti ya klabu. Kwa sekretarieti iliyopita tulizoea kupata habari motomoto za klabu kupitia wavuti hiyo. Tuliweza kufahamu mambo mengi hata kabla hayajatolewa...
  10. Makoye Matale

    Mwambusi kaachia ngazi MCC FC

    Hatimaye Kocha Mkuu wa Mbeya City Council kaachia ngazi. Akiongea na TBC Taifa Juma Mwambusi amesema mengi yamesemwa, yeye pamoja na familia yake wametafakuri na kuamua kuwa kuachia ngazi kwake kutamletea heshima na pia kutoa nafasi kwa kocha mwingine kuendelea kuifundisha MCC FC. Ni uamuzi...
  11. Makoye Matale

    Mexime mhurumie Phiri

    Ujio wa kocha Patrick Phiri ulileta faraja kubwa miongoni mwa mashabiki wa timu ya soka ya Simba SC a.k.a Mikia FC au Dar United iliyomaliza katika nafasi ya Nne msimu uliopita. Aidha usajili wa Emmanuel Okwi uliongeza faraja hiyo huku mashabiki wakiamini kuwa Okwi ni yule yule wa enzi za 5-0...
  12. Makoye Matale

    Julio kugombea uVP Simba

    Kwa mujibu wa TBC Taifa Michezo, Julio amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Vice President wa Simba. Amedai Simba imekuwa ikiongozwa na watu wenye uwezo mdogo, yeye anaijua Simba kuliko robo tatu ya wale wanaodai kuijua. Bila shaka ahadi zake zitakuwa ni:- 1. Nitaifunga Yanga kwani sisi ni...
  13. Makoye Matale

    Live Updates: Azam & Simba Matches

    Baada ya Yanga kuinyanyasa Comorozine de Domoni ya Comoro kwa magoli ya 'week' nzima; leo ni zamu ya Azam kukutana na Ferroviario ya Msumbiji katika uwanja wa Azam Complex. Wakati huo huo baada ya Simba kushikwa shati na Mtibwa Sugar, leo ipo Mkwakwani kukipiga na Mgambo Shooting. Naomba...
  14. Makoye Matale

    Live Updates: VPL 05/02/2014 Mtibwa Sugar v Simba Sports Club

    Jamhuri Stadium, Morogoro City to be. Mtibwa 1-1 Simba: FT
  15. Makoye Matale

    Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

    Live updates: Simba 4-0 JKT Oljoro: FT Ashanti 0-2 Mgambo Stg: FT Key: NS = Match Not Started FH = 1st Half SH = 2nd Half FT = Full Time
  16. Makoye Matale

    Azam FC v Ruvu Shooting FC

    Ni siku nyingine tena Azam FC wana kibarua cha kujinasua kutoka katika nafasi yao ya pili waliyoizoea katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Karibuni kwa Live updates Wakuu. Final Scores: Azam 3-0 Ruvu Shooting, Mtibwa 1-0 Rhino Rangers, Coastal Union 0-0 Mgambo JKT, Mbeya City 1-0...
  17. Makoye Matale

    Matokeo yote ya Watani wa Jadi Simba na Yanga

    Salaam kwenu WanaJF. Zimesalia siku chache kufikia mpambano mwingine wa watani wa jadi Simba na Yanga. Yapo mabishano mengi yanayojitokeza hasa katika kipindi hiki, kila upande ukijinasibu kuwa ni bora kuliko upande mwingine. Hata hivyo matokeo ya uwanjani huwa hayafuati mapenzi au hata...
  18. Makoye Matale

    Azam yaishusha daraja Yanga, Tanzania Prisons nayo hoi: Ashanti United bingwa

    Licha ya Yanga kuitandika Azam FC bao 1-0 katika ngao ya jamii, Azam FC kwa sababu wanazozijua wao wenyewe wameandaa msimamo wa Ligi Kuu ambao kama ligi itaishia hapo, moja kwa moja unaishusha Yanga daraja pamoja na timu ya Tanzania Prisons, huku Ashanti United ikiibuka bingwa mpya wa Tanzania...
  19. Makoye Matale

    Simba SC v Young Africans SC

    Leo ni siku nyingine katika historia ya Yanga na Simba. Yanga iliandika historia ya kuitandika Simba goli 5-0 hapo tar. 01/06/1968. Simba ilijibu mapigo kwa kuicharaza Yanga 6-0 tar. 19/07/1977. Simba ililipa kichapo cha 5-0 cha mwaka 1968 tar. 06/05/2012. Hadi sasa Yanga haijalipa kichapo cha...
  20. Makoye Matale

    Simba yajikomba Sunderland Uingereza

    Malkia wa bees na MahaRage wako Uingereza kwa ajili ya kujikomba kwa klabu ya Sunderland, akiongea na Maulid Kitenge wa Radio One, mzee Kinesi amedai kuwa Simba itafaidika kwa kupeleka wachezaji wao kufanya mazoezi huko na kupata fedha za kujenga uwanja. Sunderland itafaidika kwa kupelekwa mbuga...
Back
Top Bottom