Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Malkia wa bees na MahaRage wako Uingereza kwa ajili ya kujikomba kwa klabu ya Sunderland, akiongea na Maulid Kitenge wa Radio One, mzee Kinesi amedai kuwa Simba itafaidika kwa kupeleka wachezaji wao kufanya mazoezi huko na kupata fedha za kujenga uwanja. Sunderland itafaidika kwa kupelekwa mbuga za wanyama hapa TZ. Imekaaje hii issue?