Search results

  1. M

    TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Sijawahi kufikiria kuoa, sababu waliopo huko hakuna wanachopata cha mana zaidi ya maumivu kama haya
  2. M

    Salute kwa Mkubwa Fella, Mungu atakulipa

    Hahahaaa swali zuli sana, mwambie huyo mgogo akupatie kikombe cha kahawa nakuja kulipa
  3. M

    Salute kwa Mkubwa Fella, Mungu atakulipa

    Ww baba yako inawezaekana hakusoma lakini ww alikusomesha
  4. M

    Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

    Watu woyoooooo! Hayo ndio mambo tunayoyataka, lete mambo support utaipata
  5. M

    Mtalaka wa Sugu azuiwa kuingia ofisi za RITA

    Lazima wanyooke, sio kila sehemu ni ya mauzo
  6. M

    Msichana akikwambia ana mtu, mjali miezi 2 kisha kula kona ghafla...!

    Mzee baba we kamua wote tu, ila hapo hakuna mwanamke wa kuoa
  7. M

    Ndege Za kijeshi za israel zashambulia kambi ya kijeshi za Iran nchini Syria

    Hahahaaa acha mbwembwe, Syria ni Syria na Palestine ni palestine
  8. M

    Ndege Za kijeshi za israel zashambulia kambi ya kijeshi za Iran nchini Syria

    Hawezi kuwa na ufanisi kama kipindi kilichopita, nyakati hizi mataifa ya kiarabu wamewekeza kwenye teknolojia ya silaa ukilinganisha na kipindi kilichopita, saiz Syria na Iran wa mfumo wa kujilinda wa angani kutoka urusi S-400 wazungu wanauita fighter jet killer na ndio maana saiz Israel...
  9. M

    Ndege Za kijeshi za israel zashambulia kambi ya kijeshi za Iran nchini Syria

    Israel kachelewa sana, Iran kujenga military base ndan ya Syria maana yake jeshi la Iran lipo kwenye pua ya adui
  10. M

    Mikoa mingi itasubiri sana kuifikia Kagera kielimu

    Elimu yao hainufaishi mkoa wao, kwa sasa mkoa wa kagera upo kama kijiji cha walevi hasa bukoba, choka kabisa
  11. M

    Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi

    Kwa mtu kama slaa kukaa pemben bila kushirikishwa kwenye mambo ya maendeleo ya nchi yetu ni dhambi kubwa, Dr. Slaa ana mambo mengi sana kichwan ambayo nchi hii inayaitaji, nipende kumpongeza mheshimiwa rais kwa kumchagua kuwa balozi Ila namuomba ampeleke kwenye nchi ambazo zina uwezo kiuchumi...
  12. M

    Vifaranga vya kuku 6,400 vyateketezwa kwa moto baada ya kukamatwa vikiingizwa nchini kinyume na sheria kutoka Kenya

    Kwa watu wenye hofu ya mungu ni ngumu kufanya kitu kama hicho, hii inaonesha ni kwa namna gan watu waliopewa mamlaka wanavyoweza kuwa makatili wakipata nafasi ya kufanya hivyo
  13. M

    Mange amshambulia Lulu

    Akili yake imefika ukingoni ndio maana siku hiz anaandika ujinga
  14. M

    Special thread : Messi Magics

    Saiz anacheza barca na timu ya taifa na kote anafanya mambo makubwa ww unataka timu nyingine ya wapi?
  15. M

    Kwanini ajali ya mtu binafsi tunataka kuifanya kama jambo la kitaifa?

    Ungepigwa ww risasi ingekuwa ajali ya kawaida ila mbunge na rais wa chama cha wanasheria kupatwa na tukio kama ilo sio kitu cha kawaida, na ndio maana adi sasa dunia mzima inajua nn kimetokea tz, kama ingekuwa mbuzi kama ww na familia yako mngepigwa hizo risasi nafikir hakuna binadamu...
  16. M

    Usishangae;Fans wa Diamond walikuwa blood Fans wa Alikiba

    Umelipwa sh ngap Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom