Search results

  1. Nyakarungu

    Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote

    Nyie mnataka katiba ipi mkuu? Katiba itakayomtaka Rais aingilie Uhuru na utendaji wa mahakama? Katiba itakayomtaka Rais aingilie utendaji wa bunge na kuwaondoa wabunge Kama mnavyotaka kwa Mh. Rais Samia aamuru etii akina Mdee wafukuzwe bungeni?
  2. Nyakarungu

    Mbowe kahusishwa na MKIRU, IGP Sirro ameamua kurudisha jeshi huko

    Alimshinda Magufuli? Kiaje mkuu? Mbona aliufyata Hadi alipokufa ndio akaenda kusherekea? Na mbona hajitoi gerezani Kama Ni mwamba kiasi hicho? Je yeye ndiye alomuua Hayati JPM au unamaanisha Nini kusema alimshinda?
  3. Nyakarungu

    Vijana tuliobaki benchi tujifunze kwa wanaotumbuliwa

    Wanabodi, Hakuna mwanadamu aliyekamilika kabisa hapa duniani. Hivyo nawaomba vijana wenzangu tujifunze kujikubali kwa kujikosoa na kukubali kwamba hata sisi tuliwahi kufanya makosa au madudu ambayo yalisitahili adhabu kabisa, lakini kwa sababu ya Kona tuliyofanyia madudu yetu hayo haikuwa na...
  4. Nyakarungu

    Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    N Ndugu Yangu, ulimwengu huu wa smartphone Kila mtu anaandika awezalo popote
  5. Nyakarungu

    Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    Unaandika haya kwa faida ya nani
  6. Nyakarungu

    Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    Ndio maana nawasihi, tusisukumwe na hisia Wala hasira nawasihi Tena na Tena Rais wa nchi Ni taswira ya taifa lake, na sisi ndio tunatakiwa tumng'arishe kwa kumkosoa kwa staha na weledi, maana kwa Sasa Kila mwenye smartphone anaandika tusi au Jambo linaloonyesha kwamba watanzania hatuna maadili...
  7. Nyakarungu

    Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    Leo hii mama mnamtambua Ni Rais aliyetokana na uchaguzi wa 2020 mnaosema CCM iliiba kura,? Na kumbe mnamtambua Ni Rais na mnahitaji msaada wake?
  8. Nyakarungu

    Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    Nadhani ni busara sana kwetu Watanzania tukajikita kuchambua Sera za nchi na mwelekeo tuutakao kwa taifa letu kwa kuiweka mbele taswira chanya ya taifa letu. Ni mbegu mbaya Sana ikiwa tutaendekeza kutengenezeana timu zinazojiita majina yanayotukuza kiongozi mmoja huku yakimdhalilisha na...
  9. Nyakarungu

    Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    Mkuu, usiingie kwenye mtego huo Maana ukianza kuwajibu kwa hasira na lugha Kama hiyo utafanana nao waliokosa heshima mkuu wangu Mjinga akikutukana mbele za watu, mtazame na utabasamu, atajidharau sana
  10. Nyakarungu

    Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    Look at this punky reply of yours, anyway I choose to ignore you.
  11. Nyakarungu

    Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

    Wanabodi, Nawaomba Sana na kuwasihi Watanzania wenzangu tuitunze na kuienzi tunu yetu ya taifa inayoakisi malezi na maadili yetu ya kitanzania ambayo Ni heshima na uungwana kwa binadamu wenzetu. Hivi karibuni kuna magenge yanazuka mitandaoni yakimkosoa Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  12. Nyakarungu

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni siku ya tatu sasa tangu nguzo zimeanguka hapo mombo na kila linapoulizwa watu wanajibiwa kwamba eti head ofsi imekataa kutumia nguzo zilizopo kwa sababu zina kazi maalum, pamoja na hayo kila tatizo la nguzo likitokea hapa huchukua week nzima kudhughulikiwa. Je, meneja wa Tanesco mkoa wa...
  13. Nyakarungu

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiandika Makala fupi yenye mighani mifupi inayotafakarika na kubayanishika. Baada ya uchaguzi wa 2020 vyama vya upinzani viliibuka na malalamiko na matamko kadha wa kadha wakilalamikia mfumo wa uendeshaji wa uchaguzi mkuu 2020. Walidai...
  14. Nyakarungu

    Jipatie viwanja kwa mkopo - Madale Mbopo

    Unaposema mwendo WA dakika 30, huoni Ni uongo maana watu wanatofautiana ukubwa WA barua na mwendokasi WA kutembea? Weka kwa kipimo cha kilomita ngapi tokea hiyo round about na sio dakika
  15. Nyakarungu

    KIWANJA KINAUZWA

    Hizi picha hazieleweki Ni kama unaficha udhaifu wake hapo, yanaonekana Ni sehemu ya bonde la maji huwa yanatwama
  16. Nyakarungu

    Pata mashamba ya miti (laki moja na nusu kwa ekari)

    M Kuu iringa kuna wilaya ya kilombero
  17. Nyakarungu

    Plot4Sale KIWANJA ENEO LA SHERATONI NJIA YA CHANIKA

    Chaji au wewe Ni Dalali ndugu?
  18. Nyakarungu

    Plot4Sale Viwanja 20 vinauzwa Goba Kisauke,

    Tangazo liko robo aisee, twambie ukubwa na bei
Back
Top Bottom