Search results

  1. Igombe fisherman

    Maisha ya mahusiano bhana. Wakati mwingine basi tu

    Nimeamua bora tu nirudi island japo home nilikanyaga juzi tu lakini bora tu niwe kule. Kama jina langu lilivyo ndo uhalisia wa job yangu. Nimetimba home nakuta kashanuna eti sijatimiza ahadi ya kubadiri tv ya lg 24 ye anataka 32 na nilimwambia nitakuja nayo. Sasa mi mambo yamekuwa haajatulia...
  2. Igombe fisherman

    Wananchi wa Kerebe wako haraka kiuokozi kuliko jeshi la uokozi Tanzania?

    Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na taarifa ya kuzama kwa boti moja ziwa Victoria Pia soma -Ajali ya boti Bukoba, 28 waokolewa Kwa muujibu ya maelezo kutoka vyanzo vya kuaminika ni kuwa watu waliokuwamo katika chombo ni 29 na waliookolewa ni 28 huku mtu mmoja tu akiwa hajulikani...
  3. Igombe fisherman

    Nimestaajabu, kesi ya ujambazi yageuka ugoni

    Niko zangu nachoma mahindi pande za Nabuyonga island baada ya chombo kuwekwa juu ya mawe kwa ajili ya marekebisho. Sasa nimelala usiku kama sanane nashtushwa na makelele nyumba ya pili kutoka nikakuta majirani kadhaa wameamka na mwanaume wa pale nyumbani anaeleza walivyovamiwa na kutekwa kisha...
  4. Igombe fisherman

    Kwanini ndege iliyopata ajali Bukoba inafutwa maandishi?

    Ni siku kama nne ama tano nilizulu Bukoba kuiona live ndege iliyopata ajali. Lakini kilichonishitua ni ndege hiyo kukuta rangi ya njano na kijani ikiwa imebaki mkiani tu pale juu. Leo tena kaja mpenzi wa rafiki yangu kutoka Misenye kwa wakata miwa wa Kagera sukari akataka nimpeleke eneo la...
  5. Igombe fisherman

    Google map haifanyi kazi inavopaswa

    Habarini wana jf. Nimekuwa nikitumia google map katika kuendesha mitumbwi huku ziwa victoria hasa katika kipindi cha mvua na ukungu. Ila kwa sasa kila nikijitazama inaniambia niko dar. Kila ninapoenda yenyewe inabaki dar. Nime restor simu bado iko vilevile sijajua tatizo nini wana jamvi
  6. Igombe fisherman

    Wakala kaniwezesha kukwepa tozo haramu za miamala

    Niko pande za west lake reginal huku. Sasa kale kamanzi langu ka jiji la mawe kakaomba tafu. Nikikumbuka matozo na nini na hela inayotakkiwa ni 140k basi nikashuka tu kwa wakala. Maana hela zote juzi nilizitoa ili nione mayaga. Nilipofika kwa wakala akaniuliza Wakala: unayemtumia anaitoa...
  7. Igombe fisherman

    Rawama Rebeka zinanifanya nijihisi mwenye makosa

    Sauti yako imekuwa ikijirudia kila Mara ubongoni mwangu pale ulipotaja majina kama mrushaka, kayanga kaisho na mengine yaliyokuwa yakiwakirisha miji ya huko kwenu wilayani Karagwe. We siyo ndugu yangu siyo MTU wa kabila langu sikuishi na wewe sana maana hatukuwahi kukaa pamoja hata kwa siku 30...
  8. Igombe fisherman

    Binti kaa mbali mita thousand hili goma la machizi nisijeonekana natafuta kiki

    Siku kadhaa hapo nyuma kuliletwa na uzi unaoongelea bikra. Uzi huo ulisema bikra ni kapu la ndoa. Uzi ule ulijadiliwa kwa mihemuko kwa kufuata jinsia kwa kila mmoja. mpaka uzi ule ulifika mbali kwa watu kutukanana na kuonana wabaya bila sababu za msingi. Ila nilipotazama mwanamke mmoja japo...
  9. Igombe fisherman

    Nahisi jamiiforums imesababisha airtel wakasikia kilio chetu

    Juzi jumatano nimejiunga kifurushi cha wiki cha UN cha airtel cha tsh 5000 nikitegemea sitonunua tena vocha kwa ajiri ya kuwapigia jamaa ndugu na marafiki. Ila kitu cha kushangaza jana tarehe 19/12/2019 napiga simu naambiwa huduma katika sim card yangu zimethitishwa. Wakati ninadakika zaidi ya...
  10. Igombe fisherman

    Dhana ya wanawake hawapendani kwangu naiona ni kinyume

    Nimekuwa nikipita humu jamiiforums na kukuta mada nyingi zikizungumzia kuwa wanawake hawapendani. Lakini kila nikikumbuka mfumo wa mtaani wa maisha huwa ni tofauti.Mfano Kwa wale tuliosoma shule za kule vijijini za kata tunakumbuka usafiri wa kwenda shule ulikuwa ni baiskeli. Sasa inapotokea...
  11. Igombe fisherman

    Mnikaribishe ndugu zangu

    Hodihodi wana jamiiforums. Nimekuwa msomaji mzuri wa hapa kwa takribani kama miaka miwili nwishoo nimeamua kuwa mwanachama na mimi. Mnikaribishe kama hamtojari
Back
Top Bottom