Maisha ya mahusiano bhana. Wakati mwingine basi tu

Igombe fisherman

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
2,028
3,565
Nimeamua bora tu nirudi island japo home nilikanyaga juzi tu lakini bora tu niwe kule. Kama jina langu lilivyo ndo uhalisia wa job yangu.
Nimetimba home nakuta kashanuna eti sijatimiza ahadi ya kubadiri tv ya lg 24 ye anataka 32 na nilimwambia nitakuja nayo. Sasa mi mambo yamekuwa haajatulia nikaja mikono mitupu kaniwakia akisema majirani wote wameshatoka ujima wa kuangalia tv kwenye vi tv vidogo kama simu. Mi nimemwambia mambo hayakuwa vizuri kawaka kwelikweli mara hajasuka wiki mbili mara nini. Mi nikaona isiwe tabu nikaenda kuna kabaa hapo tu siyo mbali na home kaa pale kunywa tu balimi zangu huku nawaza yale mapokezi ya miezi miwili sipo home ndo hayo

Mara counter ananiuliza. Mbona siyo kama kawaida yako mi nikamjibu maisha tu sister yanachanganya. Ye akaniambia kweli maisha ni magumu kote ni kukomaa na kuvumilia tu. Mara mawazo yangu yakahama nikaanza kujiuliza. Huyu muuza pombe mbona kanipa moyo wakati hana faida na mimi ila wife mwenyewe hata sms ya samahani hamna na ndo mwanandani wangu. Toka 15:48 niko bar mpaka huu muda saa 22:22 hakuna hata habari yako. Nikaamua tu nimjaribu huyu kama anaweza nipa bia ya mkopo kama namsanifu tu. Si akanipa na kuninunulia nyingine ye kama yeye. Sasa nikawa tena najiuliza inamaana huyu ananiamini kuliko wife. Inamaana baani imekuwa sehemu yangu ya faraja kuliko home pale napokuwa napitia magumu? Nilitoka huko sikuyajenga na mbususu sikuomba nae kazidi kununa nikarudi baani jana nimetoka kule 03:26 am nikalala nimeamka nikapanda boat kurudi island tu sitaki shida. Sasa hivi ndo anaanza kunilaumu kwa uamuzi wa haraka wakati mi napunga upepo mzuri kabisa wa komezi huku chombo ikikata mawimbi ziwa vick
 
Anahitaji ushauri nasaha
 
Anajifanya anapenda maendeleleo si atoke ndani akatafute pesa...

Hapo kaona wenzie wamenunua...
Hajui vidole havilingani...
Aache kukutesa...
Wakati mwingine wanawake wanatufanya tuungane na wazee wa kataa ndoa. Yaani nyumba zinakuwa jehanamu mwanaume anaona bora akalale kwenye nyumba ya mabanzi na turubari kuliko home town
 
Hakika mkuu kuna muda hawa watu wanazingua sana. Hapo alishawatambia mashosti zake kuwa mwezi huu hauishi ukutani itaning'inia nchi 32
 
Back
Top Bottom