Search results

  1. J

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    FUATENI UPEPO WANGU NYIE MNAOLIZWA KILA SIKU
  2. J

    Ni kweli wanaotuhubiria Fursa 2017 mafanikio yao yametokana na fursa au ni magumashi tupu?

    kuna mwingine anamiliki vijigazeti vya udaku Yaan ukiambiwa chanzo cha utajiri wake astaqafulilah! ni bora uendelee kula dagaa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    Thierry Henry amvuta Jokate Arsenal

    Furaha kula chakula gani jokate uwe specific kwani waliosomea fasihi na wanzanzibara wanaweza fikiri furaha yako yaletwa na kula chakula cha usiku..............
  4. J

    Hatimaye Erick Shigongo Atajiunga na chuo mwaka huu

    hivi wale jamaa wa mbelekwambele walishamlipa vile vijisenti alivyokuwa anawadai kwa promo aliowafanyia
  5. J

    Usahihi wa taarifa toka Nkasi

    "Askari waliwaleta wananchi ili kufanikisha zoezi hilo na waliokaidi walirushwa kichura chura"! sasa mbona kama askari ndo waliowarusha kichurachura pia mtu aliyelewa anaweza kuruka kichurachura kweli?
  6. J

    Kwa wale wanaopenda kuwa wake wa wazungu sikilizeni hili

    Kwakweli wazungu wa ulaya mashariki na nchi zilizokuwa za kisovieti wanaubaguzi wa hali ya juu, mimi niliwahi pata binti mmoja kutoka slovenia mahusiano yetu yalikuwa ya siri sana aliniambia kuwa wazazi na babu na bibi yake wakijua kuwa yuko na mtu mweusi wanaweza muua, so mara nyingi tulikua...
  7. J

    Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

    KWANI YESU NA MUNGU SI NI KITU KIMOJA SO AKITAJA MUNGU IMETOSHA
  8. J

    Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

    YUPI BORA? MTUMISHI WA MUNGU SHAROBARO AU MTUMISHI WA MUNGU ANAYETAFUNA KONDOO WAKE
  9. J

    Msambwanda ni furaha ya macho tu

    Josaje michepuko noma baki njia kuu mkuu
  10. J

    Natafuta mtu wa kushirikiana nae katika biashara au kazi

    We utaendelea kukalagabao tu ukisubiri ufikishe miaka 60 ustaafu then ukafungue genge
  11. J

    Msambwanda ni furaha ya macho tu

    Misambwanda basi upate demu msafi kinyume chake waweza telekeza MTU guest kwamba umepata dharula utarudi soon.
Back
Top Bottom