Search results

  1. ndammu

    Mapokezi ya wagombea Urais kisiwani Pemba

    Haya ni mapokezi ya mgombea Urais wa CCM ndugu Mwinyi na leo mgombea Urais wa ACT wazalendo Maalim Seif huko kisiwani pemba. Mwenye macho haambiwi tazama.
  2. ndammu

    MSAADA WA MACHINE YANGU.

    Habari zenu. Kwa wale wanaoelewa naomba msaada WA utatuzi WA machine yangu ninayofanyia kazi Kwa kujipatia riziki. Nina machine yangu ya ice cream huu ni karibu mwaka WA nne. Imeanza kuniletea shida lakini mpka sasa bado nahangaika nayo lakini utatuzi WA tatizo bado sijalifahamu. Leo ni kama...
  3. ndammu

    Najua wengi wao watakosea hili

    Jee umiongoni mwao? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ndammu

    HESABU

    Jibu sahihi baada ya kufanya calculation ni ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ndammu

    MSAADA WA JINSI YA KUFICHA APPS KWENYE ANDROIDS.

    Habari zenu ndugu na mnaendeleaje na hali huko mliko? Niende moja kwa moja kwenye mada naomba msaada WA kuweza kuficha app kwenye simu YA android huku inafanya kazi. Na jee nawezaje kuifichuwa pale ninapohitaji? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ndammu

    Mkoani gani anatokea huyu mmasai?

    Sasa huyu aliamua kwenda kuuza huyu mbuzi aliyemfunga mwilini baada ya kushamchinja? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ndammu

    UHUSIANO/URAFIKI BORA.

    Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki. Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu bali tunahitaji watu wote. Kila mtu atakufaa kwa namna tofauti,hata wale wasio marafiki kuna kipindi watakufaa. Sio kila mtu atakufaa kwenye biashara au kipindi unatafuta kazi na sio kila mtu...
  8. ndammu

    MSAADA WA GALAXY NOTE EDGE.

    Habr zenu wakuu. Natanguliza shukran kwa wote muliojukwaan. naomba ufafanuzi Wa galaxy note edge kuna Rafiki yangu anauza hii simu kwahiyo sijawahi kuzitumia hizi simu. Kwahiyo naomba nieleweshwe juu ya ubora Wa hii simu nataka kuinunua kwa mitikash 15500 nikiasi kama cha shilingi laki NNE...
Back
Top Bottom