Natumia Redmi S2 toka August 2018,iko vizuri sana kila kitu,na nilianza kuzifuatilia hizi simu kupitia maandiko ya Chief Mkwawa,ila upande wa Camera haina ubora mzuri,ila sekta zingine is among of the best phone kwa watu wa kipato cha wastani.
Kingine ni moja ya simu zinazotunza chaji kwa muda...
Niliwahi kukutana na upumbafu DSTV,king'amuzi kilikuwa kinaleta meseji katikati ya screen na hata ufanye nini haitoki,kuwaeendea wananiambia king'amuzi kimekuwa ni cha siku nyingi natakiwa kununua kingine,nikawaambia maisha yenyewe manati na pia hamkuniambia ni baada ya muda gani kitakuwa ni cha...
Mkuu si hukumu,hayo ni maamuzi ya kanisa,hakuna hukumu hapo ni kanisa kama kanisa limeona hastahili kupata huduma ambayo wakati akiwa hai hakuithamini.
Because there's opening wound in this matter, erythromycin can work as anti staphylococcal antibiotics, in case the patient is itching Cetrizine might work as antihistamine,as long as we only see the picture without clacking the complain we cant be sure 100% with the treatment, cha msingi...
Wataalamu wa afya msaada wa elimu ya afya,Tunaomba msaada wenu tupate ufafanuzi juu ya haya magonjwa ya kinywa maana yanafanana kwa dalili lakini naangalia approach ya matibabu yake yaweza kuwa tofauti.
Tupate mtaalamu wa afya ya kinywa na meno atusaidie.
Ni kweli,ila TBC iliyokuwa na Tija ni ile ya TIDO,sasa hivi Pumba zimezidi,ubunifu Duni,Hawana hata clips kwenye maktaba zao wakawaangalia watu kama kina Betty Mkwasa walivyokuwa wakiripoti matukio kipindi cha msiba wa baba wa Taifa,au Jerry Muro kipindi akiwa TBC.
Jana kuanzia mida ya saa tisa hivi walikuwa wakionesha ila mahojiano na mwakilishi wao kama jina sijalikosea Mark Mkwame hayakuwa yaliyolenga kutoa majibu kwa Watanzania,Mfano badala ya kujikita zaidi kwenye suala la ajali na nini huenda kilisababisha tatizo la ajali hiyo je tahadhari zipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.