Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Naomba msaada kama mtu anajua dawa ya kuondoa vidoa doa vyeusi vilivyoachwa baada ya kutumbua chunusi anisaidie nakosaa amani na uso wangu.
Kila siku tunasema acheni mkorogo na cream kutafuta weupe. Hilo unalo. NA BADO
 
163226bf98cd4a895eb8b7708efc7795.jpg


Call her 0714547830, anauza 10,000
 
Nina sumbuliwa na chunusi yapata miaka saba sasa,nilishauriwa nisipake mafuta yoyote usoni lakini bado haijasaidia.Naona usoni nimekua na madoa na chunusi bado zipo. Nimeshauriwa nitafute clairmen cream,lakini naona ina hydroquinone ambayo wataalam wanasema so nzuri kwenye ngozi. Msaada wenu tafadhali, cream/lotion ninayoweza kutumia maana Uso hautamaniki. Mimi ni mwanaume,rangi ya ngozi yangu,maji ya kunde.
Mimi niliteseka zaidi ya miaka saba ila nimepata lotion anaitwa MARICHA itafute hutojuta

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hebu nenda kwanza kwa daktar wa ngozi..utibiwe kwa uhakika hizo chunusi..unaeza ukakuta una tatizo ndani ya damu.so ukipaka hayo macream unakua unayapooza tu na badae yanarudi tena,pole sana.
 
Ndugu uko na uso wenye mafuta using'ang'anie lotion tymia sabuni pia nzuri mno unaweza tumia lotion kumbe sabuni ndo inakuangusha hailandani na lotion unayoitumia so anze kwa hii tumia sabuni ya DOVE hukausha kabisa ngozi na unatakata ndugu yangu...!!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom