Search results

  1. Karao

    Faida ya majani ya nanaa Health Benefits of Mint

    Huu mjani kweli mzuri kwa afya,
  2. Karao

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Sio mimi nimaandiko, atakaye ilaani israel atalaaniwa , atakaye ibariki atabarikiwa
  3. Karao

    UTAFITI: Wanaoishi kwenye nyumba za kupanga wanazeeka haraka kuliko waliojenga

    Kumbe ndio maana natokwa mvi kabla ya umri
  4. Karao

    Uchafu wa kiroho hunuka kuliko uvundo wa maliwato

    Mshana ,Upewe u Doctor , mambo uliyo andika ni mambo mazito mno na ndio chanzo cha maadili kuporomoka pia ni chanzo cha umasikini na watoto kukosa malezi bora pia jamii kwa ujumla kuwa varaganti,
  5. Karao

    Hisia za kimapenzi zimepotea na dharaulika sana na wanawake mpaka nakosa raha

    Tatizo lako wewe ni rahisi sana lakinilinahitaji utulivu sana wa hali ya juu, Kutokana na maelezo yako na chanzo cha tatizo ambalo linakusumbua hivi sasa dawa yakeiliurudi kwenye haliya kawaida niku SAMEHE , MSAMEHE ALIYEKUTENDA, msamehe kabisa ona kama haja fanya makusudi kukutenda nibahati...
  6. Karao

    Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Kwahiyo wewe jamaa kazi yako nikutongoza wanawake tu hadi wake za watu, angalia sana utaumia,
  7. Karao

    Dunia na maajabu yake huyu ni mchezaji gani? 😂

    Mi naona mbuzi tu hapo , au mbuzi ni wachezaji sikuhizi maana kuna michezo ya ng'ombe, farasi nk
  8. Karao

    Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Hivi nchi niya viongozi au wananchi? Kama niya viongozi mbona wanakuja kuomba ridhaa kwa wananchi kuongoza nchi? Kama niya wananchi mbona viongozi wananyanyasa wananchi kwenye mambo ya msingi
  9. Karao

    Ujirani mwingine ni kero tupu

    Jirani wa hivyo anaweza kuku kondesha tu
  10. Karao

    Mafuta ya Petrol na Diesel yameenza kuadimika tena nchini

    Sawa kuna uhaba wa bidhaa ya petrol nchini lakini je. Kunani tabora jamani kunaniiiiii???
  11. Karao

    Tuwe Wakweli, Rais amechoka ila wapambe ndio ving'ang'anizi 2025 agombee

    Kwahiyo tutakaa giza miezi 6, duuuh
  12. Karao

    Je, ushawahi kupitia mkasa wa kupata ajali na gari ya mtu.?

    Hakuna kitu kizuri kama mtu kujiridhika na maisha yako kuliko kuishi kwa kuazima azima vitu vya watu vyenye dhamani kubwa , ikitokea la kutoa mtu una hunya hunya tu aibu kubwa
  13. Karao

    Kutomuamini Mungu ni ujasiri au Ujinga?

    Uwe unajua au hujui , useme au usiseme aliye kuumba yupo tu na siku utakutana naye tu
Back
Top Bottom