Search results

  1. Zaydkhan

    SoC02 Mbinu zitakazosaidia kutengeneza na kukuza uzalendo kwa watanzania

    UTANGULIZI Salaam na Amani ziwe nanyi, Karibuni katika mnakasha huu utakaojikita katika mbinu za namna ya kuutengeneza na kukuza uzalendo, Imani yangu mnakasha huu utaleta fikra chanya za kuujenga uzalendo. Tenga muda wako kuungana na mimi katika huu mnakasha, naamini utajifunza mengi kuhusu...
  2. Zaydkhan

    TISS, take a note: WHO imeonya kuwa hakuna ushahidi watu waliougua korona kutoambukizwa tena

    Soma Tena vizuri uelewe alichokimanisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Zaydkhan

    Natafuta jinsi ya kuaply jeshi

    Nafas bado hazijatoka ila hio ni mipango ya mwaka ujao ya wizara ya mambo ya ndani.
  4. Zaydkhan

    Bakhresa angeanza biashara nyakati hizi za Mariam biriani asingetoboa

    Muda mchache mambo ni mengi tu tutaona mengi sana.
  5. Zaydkhan

    Wajue wanawake watatu magaidi ndani ya Marekani

    Iv unajua tofauti kati ya kutukana na kukosoa?. Unaonekana ni mshabiki wa Marekani.
  6. Zaydkhan

    Msaada wa kuandika cover letter

    Hahahahah wasomi wetu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Zaydkhan

    Hali bado ni tete kwa Wakulima wa Korosho

    Wanapogombana mafahari wawili zinazoumia ni nyasi we endelea kuvumilia. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Zaydkhan

    Namna gani bora ya kumzuga mwanamke asije nyumbani kwako?

    Google is our best friend Sio mbaya ukiingia google kusearch kuliko kuanzisha thread kama iz.
  9. Zaydkhan

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Director wa hi cinema kashindwa kuimalizia Wamemtupia town ni bora hata wangemtupia pembezoni mwa mji uko inaonesha walimficha karibu na maeneo hayo
  10. Zaydkhan

    Unamtaka mwenye gari na nyumba nzuri, utasubiri sana.. Pole dada

    Kwa iz comments kweli ukweli unauma sana.
  11. Zaydkhan

    Arumeru: DC Muro awalazimisha walimu wote kushiriki katika mkesha wa mbio za mwenge

    Inatia huruma sana hii inatokana na walimu hawana mwajiri maalum hawajui nan ni boss wao wa kumfuata.
  12. Zaydkhan

    KUJUA NAMBA ALIZOBLOCK MKEO

    Endelea kuchokonoa utakipata unachokitaka
  13. Zaydkhan

    Mgambo wa usafi wa Makonda wanalazimisha makosa ili ulipe faini

    Tatizo uoga ukikubali kuenda nao mbele wanakuacha Mara nyingi wanaangalia uelewa wa mtu ukiwa mtu wa kuhoji mtaelewana tu.
  14. Zaydkhan

    Moyo wangu

    Pole sana inaonesha ndo penzi lako la kwanza vumilia tu hamna namna ukizoea utaona kawaida
  15. Zaydkhan

    Ili uolewe mapema mdada tumia mbinu hii matata....

    Siku iz ni ndoa za mkataba kama bikra hamna mkataba ushavunjika anachukua time yake
  16. Zaydkhan

    Nampenda nahisi ananipenda pia ila mh!

    Mpende kama alivo hakuna asiekuwa na mapungufu
  17. Zaydkhan

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Briefly, Nachokiona apo ni kubadilika kwa mifumo ya maisha ikichangiwa na sera za ujeuri za mwanamke kutaka kuwa sawa na mwanaume, wanataka kuwa huru nowdayz ni rahis mdada kusema me shida yangu nizae tu ayo mengn nitadeal nayo.
  18. Zaydkhan

    Wanawake mtatuua tuoneeni huruma

    Unaonesha ni mtu mdhaifu kwa papuchi ndan ya muda mfupi kajua had ofis unayofanya kazi.
  19. Zaydkhan

    Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

    Piga chin huyo hakufai vyuma vishamkazia
Back
Top Bottom