Search results

  1. griffin griffith

    Ya kina Mwandosya nayo yamepitwa na wakati! Angalau yupo!

    Wewe jamaa, umeulizwa, vigezo vimebadilika au ?
  2. griffin griffith

    Baada ya kauli ya Mzee Kikwete ningekuwa Mbunge wa Mbeya ningefanya haya

    Hujajibu hoja, tuache ushabiki wa ajabu na uzalendo fake! Chuo hiki kikija mbeya kitaichangumusha mbeya kwa fursa mbali mbali
  3. griffin griffith

    Dawa gani nzuri ya wadudu katika maharage?

    Tumia moja Kati ya hizi 1. Thunder 2. Duduba 3. Ninja au karate Namba 1 ukiikuta ipo good cuz inaua wadudu wa kutafuna na kufyonza (sucking insects) , sijui unanielewa?
  4. griffin griffith

    Tukuyu: Waumini KKKT wamfukuza Baba Askofu Dkt. Edward Mwaikali

    Labda huelewi Mbeya yenyewe wanataka dayosisi Yao sio kuihamisha dayosisi! Kama vile hii dayosis ilivyoombwa toka Iringa! Yaan wanakonde waliomba dayosis Yao kwani wamekuwa na wanataka wajitegemee! Hivyo hivyo mbeya wanataka dayosis Yao wajitegemee! Si kuhamisha dayosisi Halafu unaposema...
  5. griffin griffith

    #COVID19 Ukiugua ugonjwa ambao hauna tiba na ukapona, je inahitaji kupatiwa chanjo?

    Hivi hii vaccine tunayopata ( j&j) na zingine zipo kwa ajili ya kirusi kipi cha corona?
  6. griffin griffith

    Uchawi Mjini Unguja: Marehemu aonekana mitaani na sokoni

    [emoji849][emoji19][emoji849][emoji846][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
  7. griffin griffith

    #COVID19 Kigoma: Wazazi wavamia shule wakidhani watoto wanachomwa chanjo ya COVID-19

    Juzi nimekutana na kabinti kangu,kana umri wa miaka 5 Kanasema baba wazungu wanataka kutuua kwa kutuchoma sindano shuleni! Wazungu watu wa shetani, mm siendi shulen tena Namuuliza nani kakwambia haya , anasema ni mwalimu!
  8. griffin griffith

    Huyu ndiye Mkush Original

    Hiyo ndo cannabis sativum au cannabis indica
  9. griffin griffith

    Tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara

    Mkuu Pole kwa tatizo Hilo Nakushauri kapime tena sickle cell! Nina binti angu , nilihisi ana ugonjwa huo tangu azaliwe, niliamua apimwe sickle cell for first time , results ni negative Lakini bado nilikuwa na wasi wasi sana, maana dalili za sickle cell mtoto alizionesha zote! Niliendelea na...
  10. griffin griffith

    Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

    Samia hapa kaharibu pakubwa sana
  11. griffin griffith

    Video: Kasesera na Chalamila watikisa ukumbi wa burudani, wamwaga Kwaito, usipime!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] After all jamaa wanajua maisha ni mafupi, hawana room for stress That’s great
  12. griffin griffith

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Just try to comprehend and mull deeply! Mkuu tried to extend pitch of conclusive speculations, where many atheists are imbibed in! Most of you rely on science , believing that science can attempt everything while not! There still setbacks science can’t curb all out
  13. griffin griffith

    Kwenye suala la HIV na UKIMWI wazungu walitupiga? Nini kifanyike?

    Hivi Huyu mwamba yupo siku hizi!? Kala hibernation kali sana
Back
Top Bottom