Mbona bado mgonjwa?? Tens sana tu! Iko wazi kwamba hao walioko pembeni yake wako hatarini, maana anakohoa tu uncontrollably!! hivi sisi huwa tunatumia nini kufirikiri?? hata tu mask ,, kama act of kindness (kulinda wengine)?? politics, na uchoyo!
Kajijngea mwenyewe then kazuga wampe kama zawadi,, ili wakina sisi tisipige kelele kwamba katumia fedha za waumini. Mjini mipango, ngoja nikanunue mihogo nipate chai ili nitunze pesa ya sadaka jpili
Hakuna kitu hapo, Hata bia ukiingalia kwa muda mrefu bila kupepesa macho hubadilika,, just an illusion. Your mind playing tricks on you,, Hakuna magic Wala muujiza hapo.
1. alcohol is the enemy of man, BUT, a man who runs from his enemies is a coward. Lakini Hata maandiko yanaagiza uwapende adui zako Kama nafasi yako, so penda pombe kijana, ni amri
The past is what it is,, the past to be exact. What matters is now, kama hakukuzaa hana dhamana ya kuku-hold hostage, move past it. "yesterday just died, tomorrow never cried, and actually today is smiling!! " just days of our lives, Pamoja!
condescending as you may sound I actually like your cockiness!! it's a bit strange that after all the criteria and specifications you thoroughly explained, you would be OK with an open relationship. To me that is a red flag, a sign of desperation,,, at 23!! would love to hit it though, and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.