Search results

  1. Tyrone mofekeng

    Mtanzania auliwa kwa kupigwa na jiwe na mtanzania mwenzie Cape town, Afrika Kusini

    Kijana wa kitanzania aliyefahamika kwa Jina moja la Dickson aliuawa kwa kupigwa na jiwe na mtanzania mwenzake jana na kuporwa kiasi cha pesa kipatacho R12000. Akitangaza msiba huo. Katibu wa umoja wa watanzania cape Town (TAC) alisema muuaji huyo alifanya tukio hilo kwa kushirikiana na mkewe...
  2. Tyrone mofekeng

    Ee Mungu muongoe huyu Al-watan.

    Dua yangu kwako mungu wangu.... wa babu zangu...... muongoe huyu Al-watan. Ana upeo wa hali ya juu ila umeelekezwa sipo. Hakujui wewe baba wala uwepo wako. Namuombea aujue uzima wa milele. Na uzima wa milele ndo huu, wakujue wewe, mungu wa pekee na yesu kristo/ Muhammad ( SWA) uliowatuma...
  3. Tyrone mofekeng

    Haya yote huwa ni mapenzi ya Mungu? Au shetani naye anaweza kuhusika?

    = Ndege imepoteza dira.... ikaanguka na kuua watu wote waliokuwamo kwenye ndege hiyo, Mapenzi ya Mungu. = Gaidi kaiteka ndege..... akailipua angani na kuua watu wote waliokuwamo kwenye ndege hiyo, Mapenzi ya Shetani? = Gari limeacha njia... likavamia nyumba na kuua watu waliokuwamo kwenye...
  4. Tyrone mofekeng

    Siku hizi sisikii kabisa habari za Muumiani

    Zamani zetu (Wahenga), sana tulioishi vijijini hatukuogopa chochote zaidi ya waumiani. Wengi wenu sijui kama mlishalisikia Jina hilo. Usijali kua hujawaona mana hata mimi sijawahi kuwaona. Lakini ilikua ukitumwa unasisitizwa sana uwe makini na waumiani. Mara nyingine tulitumia njia zenye...
  5. Tyrone mofekeng

    Kitovu na Uume wa mtoto.

    Wanajamii jumapili njema. Kwa muda mrefu sana nimekua nikisikia kuhusishwa kitovu kuhusishwa na nguvu za kiume iwapo kitaangukia kwenye uume wa mtoto wakati akiwa mdogo. Inanisumbua sana kujua iwapi ni kweli kuna uhusiano unaoweza kumuathiri mtoto kua asije kupata erection akuwapo. Mwenye...
  6. Tyrone mofekeng

    Maisha halisi ya watanzania

    Kwa wanaoishi vijijini, Imani zao ni za kichawi. Wao hulaumu kila baya, iwe maradhi Au balaa lolote kua ni matokeo ya uchawi wa mtu fulani. Hasa wazee wenye macho mekundu. Inasikitisha sana. Kwa wanaoishi mijini wao hawaamini kua wanaweza kupata maendeleo yoyote bila kupitia kwa mganga...
  7. Tyrone mofekeng

    Mcheza karate mahiri zaidi aliyetikisa mchezo wa karate Tanzania. Khalifa Kiumbe Moto (Chief Kiumbe)

    Je unamkumbuka khalifa kiumbe moto? Ndie mchezo karate, kick boxer na judo mahiri zaidi aliyewahi kutokea tanzania. Alivuma sana mwishoni mwa miaka ya tisini. Jina lake Ni Khalifa.... mjukuu wa mzee khalifani kiumbe. Msomi wa dini ya kiislamu aliyekua maarufu sana. khalifa Kiumbe alikua na...
Back
Top Bottom