Search results

  1. C

    Natafuta nafasi ya kazi sekta ya afya

    Wakuu habari za siku. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 ni clinical officer (afisa tabibu)naomb nafasi ya kazi kwenu ninyi niko tayari kufanya kazi hospital, pharmacy,NGO's or anywhere my knowledge will be applicable. Asanteni niko active immediately endapo nitahitajika...
  2. C

    Clinical Officer Looking For Job opportunity

    Wasaalam wakuu Mimi ni kijana wa miaka 28 clinical officer Niko mbele yenu kuwaombeni msaada/opportunity connection ya kupata kazi,naamini wewe usomayo bandiko hilo una moyo wa kusaidia kimawazo au connection au kuajiri kabisa Nina uwezo wa kufanya kazi idara nyingi na Nina uzoefu wa kutosha...
  3. C

    Clinical officer (ofisa tabibu) looking for job opportunity

    Wasaalam wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 27 Mhitimu wa kozi ya Clinical Medicine nimehitimu mwezi wa 2 mwaka huu, naombeni Kwa unyenyekevu mkubwa nafasi ya kazi popote pale ndani ya Tanzania. Najua tupo hapa kupeana mawazo na kusaidiana changamoto mbalimbali,hivo Kwa yeyote mwenye taarifa za...
  4. C

    Simple raba bei nafuu

    Habari bandugu,hili linahusu wale wapenz wa raba wanaotaka kufanya biashara,karibuni nauza raba hzo hapa chini kwa bei nafuu kabixa,nauza kwa bei ya jumla kuanzia piece 20 na kuendelee Bei sh 5000 kwa piace moja,karb pm kwa anaehitaji N.B.Raba ni special sio mtumba
  5. C

    Karibu usome Diploma and Certificate kwa bei nafuu

    Msongola training institute inakupa nafasi ya kutimiza ndoto zako kama kijana,kwa kudhamini hilo chuo kinatoa kozi elimu kwa gharama nafuu CHUO KILIPO Chuo kipo manispaa ya ilala jijini dar es salaam 2.Kwa wanaohitaji kujiunga na Certificate MFUMO WA ADA Chuo kinatoa nafasi ya...
  6. C

    Karibu Msongola Usome Diploma ya udactari

    Habarini wadau,tangazo kwa wote wanaohitaji kusoma certificate and diploma in clinical medicine na kozi ya mwaka mmoja community karibuni Msongola training institute,chuo kipo Msongolo ilala dar es salaam ,karibu chuoni ujaze form ujiunge mwezi oktoba MAWASILIANO 0621149472 Post sent...
Back
Top Bottom