Msongola training institute inakupa nafasi ya kutimiza ndoto zako kama kijana,kwa kudhamini hilo chuo kinatoa kozi elimu kwa gharama nafuu
CHUO KILIPO
Chuo kipo manispaa ya ilala jijini dar es salaam
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/4f974c543dc6f2867a549dfae9282042.jpvilivyo
KOZI ZITOLEWAZO
Chuo chetu kinatoa kozi zifuatazo
1.Diploma in clinical medicine(3 years)
2.Certificate in clinical medicine(2 years)
3.Community health (1 year)
VIGEZO VYA KUJIUNGA
1.Kwa wanaohitaji kujiunga na Diploma[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/18cc0342200a13ab95273c126cbd3c40.jpg
2.Kwa wanaohitaji kujiunga na Certificate
MFUMO WA ADA
Chuo kinatoa nafasi ya kulipa ada kidogo kidogo ikizingatia hali ngumu ya maisha kwa sasa utaratibu umeainishwa kama ifuatavyo
USAJILI WA CHUO
Chuo kimesajiliwa na nacte kama inavoainishwa
MAKTABA NA MAZOEZI
Chuo kina maktaba kubwa ya vitabu na pia kina maabara nzuri za wanafunzi kujifunzia ili kujinoa kuwa wahudumu wazuri wa afya
WAALIMU
Chuo kina waalimu wa kutosha waliosheheni taaluma murua,chuo kimeajiri baadhi ya madactari bingwa ili kuwanoa vijana vilivyo
MALAZI
Kwa kuzingatia umuhimu wa malazi chuo kinatoa huduma ya malazi kwa bei nafuu kabisa ya sh laki moja kwa miezi sita
HITIMISHO
Karibuni Ndugu Jamaa na marafiki Msongola training institute hasa katika kipindi hiki ambacho wahudumu wa afya wanahitajika zaidi
MAWASILIANO
Makamu mkuu wa chuo
+255759021432
Asanteni nyote karibuni waweza kupiga simu na kupata msaada mda woote,karibuni dar es salaam karibuni msongola
Post sent using JamiiForums mobile app