Simple raba bei nafuu

Simple raba bei nafuu

Classics

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
203
Reaction score
368
Habari bandugu,hili linahusu wale wapenz wa raba wanaotaka kufanya biashara,karibuni nauza raba hzo hapa chini kwa bei nafuu kabixa,nauza kwa bei ya jumla kuanzia piece 20 na kuendelee
Bei sh 5000 kwa piace moja,karb pm kwa anaehitaji
IMG_20180413_081004.jpg
IMG_20180413_080934.jpg
IMG_20180413_080951.jpg

N.B.Raba ni special sio mtumba
 
Habari bandugu,hili linahusu wale wapenz wa raba wanaotaka kufanya biashara,karibuni nauza raba hzo hapa chini kwa bei nafuu kabixa,nauza kwa bei ya jumla kuanzia piece 20 na kuendelee
Bei sh 5000 kwa piace moja,karb pm kwa anaehitaji
View attachment 748796View attachment 748797View attachment 748800
N.B.Raba ni special sio mtumba
Umeweka Picha 3 tofauti lakini za zote za Raba hiyo hiyo moja,
Je unamaanisha mzigo mmoja wa pair 20 unakua na raba Zinazofanana?
 
Mkuu hakuna za rangi tofauti na je kama mtu anataka piace 10 kwa mtaji wa kuanzia unaweza kumpa kwa bei hiyo hiyo, mwisho je mkoani unatuma mzigo
 
Back
Top Bottom