Search results

  1. C

    Naunga mkono hoja Benchika hafai kufundisha Simba

    Anayetakiwa kuondoka ni kanjibai
  2. C

    Mo Dewj asema atazungumza na Wana Simba Instagram ili Wafanye usajili wa kishindo

    Tapeli mo dewji anatakiwa afukuzwe simba
  3. C

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Sasa mwamba na rangi yako hii kweli utongozwe na demu?
  4. C

    Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?

    Bado hujarudi shule??
  5. C

    Putin ni mtu hatari wa kuongea saana ila USA analiogopa sana hili dude!

    Anhaaa shekhe wanasemaje huko msikitini
  6. C

    Sio kila uvimbe wa titi ni kansa

    Niko kwenye gari mda huu,natoka kumzika mama mmoja jirani,alikufa na kansa ya ziwa,ni huzuni kweli,hebu wanawake mfanye check up kwenye maziwa yenu kila baada a mwaka mmoja,na bila kusahau kichunguza saratani ya shingo ya kizazi kila baada ya miaka 3
  7. C

    Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

    Shida yako ni utoto na umeshindwa ku move on,ukiona hamuendani mwanamke achana nae mambo ya sms sijui ya mwisho inadhihirisha utoto wako,umetumia nguvu nyingi kwa sababu hukupendwa,Leo unajidai kumwacha wakati wewe ulishaachwa siku nyingi
  8. C

    Natafuta mume, nina miaka 24

    Umefunga pm bibie,njoo tuyajenge niko arusha
  9. C

    Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

    Nothing serious,acheni uchonganishi
  10. C

    ECOWAS yaanza kusogeza Majeshi yake mipakani mwa Niger

    Hahaha babu Hii taarifa umeitoa wapi,naona Kama umeharisha uharo huku
  11. C

    Kenya Kusaini mikataba na Dubai

    Mpumbavu mkubwa wewe ulaaniwe kwa ujambazi wa kuuza Mali za Tanganyika,hayo yote mtalipa tuu
  12. C

    Je, una herufi M katika kiganja cha mkono wako?

    Ww mama una laana sio Bure,kushabikia nchi kuuzwa,we ni mtu mbaya sana
  13. C

    Bachelor of Clinical Medicine

    We jamaa ukisoma hii statement yako wewe mwenyewe unaielewa hahahahaha
  14. C

    Mo afukuzwe uanachama wa Simba SC

    Nasikitishwa na wadau wa Simba Kumtetea Gabachori,uwizi wake uko dhahiri kabixa,mambo mengi ni Siri,ukiuliza bil 20 anakuwa mkali,matangazo ameweka kwa jezi kwa mkataba ambao haueleweki,binafsi siwezi kuvaa jezi ya Simba yenye matangazo ambayo hayaeleweki,siwezi kuwa sehemu ya upuuzi,Gabachori...
  15. C

    Presha kwa mjamzito

    Kama havimbi miguu na mkojo hauna protini Haina shida kabixa
  16. C

    TRUMP: Putin amedhoofika

    Huwezi kuelewa kwa sababu liko nje ya uwezo wako
Back
Top Bottom