Search results

  1. proskaeur

    Tunauza Vipuri ( Accessories)vya Laptop & Desktop.

    SSD unazo, Kama Ni ndio, ni Bei gani kwa ukubwa tofauti, na RAM pia
  2. proskaeur

    Wapi nitapata dagaa wa mwanza wa mafuta

    Huwa nauza, sado elfu 20 ukichukua nyingi naweza kukupunguzia Hadi elfu 18 , karibu sana
  3. proskaeur

    Ushauri na msaada; Je asomee kitu gani? Ana D kwa masomo yote kasoro Math's F na Kiswahili C

    Mkuu kwema, Kama physics, chemistry na biology Ana D, mshauri afanye kuomba Radiology ama Dentistry, hizi kozi Zina mkopo kwa level ya diploma, chuo Cha Afya Kibosho kinatoa hizo kozi zote so ni yeye uchaguzi wake asome kozi ipi Asante
  4. proskaeur

    Naomba kujua makato ya mshahara 1,040,000 (NSSF, PAYE, HESLB, NHIF)

    Huo ni mshahara wa zamani kwa watu wa Bachelor Nursing, ila kwa hizi ajira mpya za juzi wanaanza n mshahara mpya wa TGHS D ambao ni 1274000
  5. proskaeur

    Agiza nami vioo original vya Samsung kutoka China

    Kioo cha Samsung s8 edge, bei gani huko china
  6. proskaeur

    Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Ila kama unataka maisha, fuata ushauri wa mwamba hapa, tafuta tu mtaji ingia mtaani chakarika, shule haina maana saizi unless ungekua wa kike ningekushauri uka buy time shuleni ila wa kiume bora ukajipambanie kitaa ikiwa bado mapema Naongea haya nikiwa muhanga wa Degree za Afya bila ajira mwaka...
  7. proskaeur

    Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Kama unataka kusoma fuata huu ushauri, ila ondoa Pharmacy na Medical Lab utapoteza muda wako, nenda na hizo zingine zilizobaki hasa opthalmology, radiograph na dental
  8. proskaeur

    Hatimaye nimeondoka rasmi nyumbani

    Kwema mkuu, sorry uliniahidi kunifundisha hii kitu kutengeneza vipodozi kwenye uzi wa kama unaingiza 30000 kwa siku nadhani utakumbuka ila nilijaribu kukucheki haujanijibu naomba kama utapata nafasi unisaidie
  9. proskaeur

    INAUZWA Nauza perfume, saa na urembo mbalimbali kwa bei poa

    Mkuu naomba unioneshe set yenye saa, mkufu na hereni, ya 35000 na ya 50000 nijipime
  10. proskaeur

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Hellow dada, kama una nafasi nakuomba unielekeze, PM yako nimejaribu kukutafuta ila naambiwa siwezi kukutumia meseji
  11. proskaeur

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Asante sana sana dada Rumaiya, nitakukumbusha sikukuu zikiisha Najitahidi ili asiwe mpweke kukaa nyumbani bila kazi
  12. proskaeur

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Mkuu naomba madini kwenye hili, nimemfungulia mke wangu saluni ya kike natamani tu introduce hiki kitu ulichokua unakifanya ila sina ABC, Naomba unielekeze ili nami niwe natengeneza wife aweke saluni mwake Nitashukuru sana ukinisaidia katika hili Ahsante
  13. proskaeur

    Kanisingizia mimba, Nmeikataa, ananiomba pesa ya kuitoa

    Mkuu suala la kusema hukumwaga eti ndio usiweze kumpa mimba mwanamke si kweli, kuna asilimia kadhaa mbegu za kiume huwa zinatoka in between ya tendo hata kama haujamwaga bado Ila ni kwa asilimia ndogo sana kuweza kusababisha mimba, maana mara nyingi huwa zinaishia kufia kwenye mazingira ya uke...
  14. proskaeur

    Mashabiki wa Simba SC wanaongoza kwa kujitoa ufahamu na hawajitambui

    Mkuu kwani kimataifa bado mmo?
  15. proskaeur

    Simba wameamua kupuuzia mechi na Yanga? Hili jambo nalo pia linatutesa sisi Yanga

    Hivi wewe si ndiye uliyesema Yanga akifungwa na Al Hilal unatoka JF mwezi mzima, sasa huku umekuja kufuata nini ama mechi haijachezwa bado?
  16. proskaeur

    Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

    Mtafutieni diploma ya mambo ya anga, kama Aicraft maintainance ama nyinginezo zifananazo na hizo hapo NIT, Ila C.O sishauri atateseka tu mtaani, ni bora aje ateseke ila alisoma kitu anachokipenda na sio ile mliyo mlazimisha ninyi Ama VETA akasome Skills kama UMEME, PLUMBING ama kingine...
  17. proskaeur

    Kwa Medo Melis tutafika kweli Dodoma Jiji?

    Alikua anafundisha ile timu ya kina ALI KAMWE ya NDONDO CUP, ilikua inaitwa INSTA UNITED nafikiri
  18. proskaeur

    Kwa watumiaji wa Google Pixel

    Mpya ama used boss
Back
Top Bottom