Search results

  1. M

    Uchaguzi wa wanafunzi UD wadorora!

    Wanafunzi wenyewe wame-cease kuwa visima vya fikra-endelevu, kuwa watu wa kuigwa na pia watu wenye upeo wa kuona mbali. Hatua ya kuwapiga bakora wanafunzi wenzao au uvunjifu wa amani ni hatua zionyeshavyo upeo wa hao watoto! Kama wana-act kama primary school children, na wao ni lazima...
  2. M

    How Finance works in Dar

    Openings kibao zipo. financial analysts wanahitajika kwingi tu. Kwenye Public institutions mpaka uone tangazo (kama ni mtoto wa mlalahoi). Private financial and commercial institutions zipo nying hivyo ni kujinadi tu. Coys. kama Pricewaterhouse.., Delloitte, KPMG etc. zipo na zinaajiri...
  3. M

    Kijana akamatwa na kichwa cha mtoto akifyonza damu:::

    Maafa haya ni matokeo ya Polisi na hospitali ya Muhimbili kutotekeleza wajibu wao ipasavyo. Huyu kijana alipelekwa pale na Mch. Lwakatare baada ya kudai kuanguka kwenye ungo! Bila ya uchunguzi wa kutosha wakamwachia. Haijapita muda kaua mtoto wa miaka 3. Shame on u!!
  4. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Tuvunje mwungano. Wakati huo huo tukijiandaa kupeleka majeshi ya kulinda amani Pemba na Unguja.
  5. M

    Kampuni ya madini yafanya unyama wa kutisha

    Hivi mbona huyo mmliki wa Amazon huwa hatajwi? Nimepitia vyombo vingi vya habari, havimtaji kabisa!
  6. M

    Rostam Aishtaki Mwanahalisi

    Spika ameisoma hii? ALIMCHOKATALIA BUNGENI, KITAWAKILISHWA MAHAKAMANI!
  7. M

    Crisis Management:presidentjk Always On Board

    Lakini, ni lazima tukubali - maamuzi muhimu na mazito kwenye mustakabali wa Taifa yanahitaji uangalifu mkubwa esp. kwa nchi kama yetu ambayo, kwa bahati mbaya kabisa, raia wake wengi hawaelewi ni nini kinachohitajika kuleta mabadiliko. Uongozi kuchukua hatua, ambazo licha ya kuwa stahili...
  8. M

    wanafunzi wetu wa siku hizi wana nn?

    Hii ni shule ya nne katika kipindi kifupi - zingine ni Lyamungo, Chidya, Bagamoyo. Hii ni dalili ya matatizo yaliyopo katika sekta ya elimu kwa ujumla. Lakini, zaidi ni kwa watoto wa walalahoi - kwani zote hizo ni za serikali (na ziko meant kwa wale wasioweza kwenda kwenye Academies)
  9. M

    SAKATA la UWANJA wa NYAMAGANA: Ubomoaji Wake na Migongano ya Taasisi Husika

    [/COLOR] Kwani Lindi na Rukwa ndiko kunastahili viongozi wa sampuli hiyo?
  10. M

    Thanks God for Giving us Kikwete

    'A nation of sheep will beget a government of wolves' - Edward Murrow.
  11. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    [/COLOR] Alistaafu mwaka juzi. Sasa hivi ukimwona kachoka.
  12. M

    Leteni Maswali ya Kiafya Niwasaidie

    Mimi ni mgonjwa wa PUMU kwa muda mrefu. Madawa ambayo nimekuwa nikitumia, miaka nenda rudi, ni aminophylline na ephedrine. Je, hakuna ugunduzi wa dawa nyingine uliofanyika katika kipindi chote hiki? Ningeomba unieleze wapi zinaweza kupatikana.
  13. M

    Wana JF Hawa Wako Wapi?...

    Mtalii naye tunammisi!
  14. M

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Viwanja vinne! Mwenzetu nawe ni fisadi wa ardhi nini?
  15. M

    Kikwete tangaza hali ya hatari - Kiula

    Hali ya hatari, mara nyingi, huendana na mambo yafuatayo:- a. Utawala wa amri (ki-imla)usiozingatia au kuheshimu sheria; b. Kufishwa kwa uhuru wa vyombo vya habari; c. Kuundwa kwa tribunals kuchukua mahali pa mahakama; d. Uongozi wa nchi kutegemea mawazo na utashi wa viongozi waliopo...
  16. M

    NJAA YAJA: Dear Mr. President, On a Serious Note...

    Maghala yapi? Si tulishauza/kuyatelekeza zamani. Vihenge (silo)nazo ni hivyo hivyo. Matanki! Nenda pale TIPPER uone yanavyooza baada ya kutelekezwa kitambo. Sidhani kama nchi tuna sehemu ya kuhifadhia mafuta. Kwanza hio strategic reserve ya mafuta ni msamiati mpya na haipo kwenye policy au...
  17. M

    Mwaka mgumu kwa mafisadi: Wananchi Buzwagi wafunga mgodi wakitaka fidia

    According to MWANANCHI - 22/04/2008 -'Risasi mtindo mmoja Buzwagi' -'14 wakamatwa'
  18. M

    Wapinzani watinga Tume ya Maadili

    Bajeti ya hiyo Tume ni shilingi ngapi kwa mwaka? Wanaweza kuorodhesha output yao toka ianze? Another wastage of fedha za wananchi!
  19. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Bunge lilishawahi kupitisha sheria kuhusu Anti-laundering. Kama pana mtu anayo atupatie.
Back
Top Bottom