Search results

  1. F

    Ukweli mchungu: Vifurushi vipya vya NHIF vitaumiza wanachama zaidi ya kikokotoo kinavyoumiza wafanyakazi

    Hivi kabla ya kuandika huwa tunakuwa tumepata taarifa au. Hayo majadiliano na watoa huduma si yamefanyika kwa takribani miezi 8..NHIF ilipotaka kuanza kutumia huo utaratibu mpya si Waziri alisitisha ikabidi warudi kwenye meza ya mazungumzo sio peke yao bali awepo mediator ambayo TIRA ilihusika...
  2. F

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nipo tayari kupambana endapo kuna kitu kizuri.. Naweza nisiwe na kiasi fulani muda huo lakini nikakitafuta kufuatana na uzuri wa bidhaa. Nipo flexible nikishindwa nitakwambia hiyo siwezi. Hivyo unaweza kunishirikisha ili mimi nijue naiweza au laa.
  3. F

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mbona huweki maelezo toshelevu?
  4. F

    Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

    Hiyo ndio kampuni naitumia siku zote hata jana imenisafirishia mzigo mkubwa sana from Kariakoo mpaka huku mkoa wa?? Mzigo ulipakiwa juzi jioni nimepokea jana saa 8 mchana... Ila ungefika asubuhi Changamoto ni mvua kuathiri barabara.
  5. F

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Umenipa nguvu zaidi ya kimaamuzi. Ni ushauri mzuri sana. Nakushukuru nitaleta mrejesho nikifanikisha.
  6. F

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Asante kwa new idea. Ila Tz zinapatikana kweli?? Wapi na bei zao zipoje? huwa naona zinatangazwa Kenya tuu.
  7. F

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Asante sana Ndugu.. Nimepata uelewa mkubwa najua walao nichague namna gani.. Ingawa bajeti yangu ninaweza kufikia 1.5m kushuka chini.
  8. F

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Asante sana kwa kunielewa na kutaka kunisaidia. Una moyo wa kipekee sana. Suala la bajeti nipo flexible ingawa sio kwamba nina uwezo hapana ila kitu nikikipenda na likawa hitaji hasa la moyo huwa napambana mpaka nikipate. Mimi sina starehe yeyote zaidi ya kutulia nyumbani baada ya majukumu ya...
  9. F

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hivi mkuu hizi vizio sound bar mtumba zinazotangazwa na kuuzwa na baadhi ya watu zipoje?? Mimi nahitaji music mzuri mzito lakini mtulivu sio makelele hasa kwaajili ya kusikiliza classic music., kwaya zile zilizoimbwa kwa viwango vya juu kabisa, sauti zote nne zisikike, vyombo kiasi, maneno na...
  10. F

    Tupeane ushauri katika hili: Je, niendelee kujiajiri au niajiriwe?

    Kila upatapo faida nzuri wekeza kwenye kitu kingine cha kudumu ili hata huko mbele yakitokea mabadiriko yenye kuathiri biashara yako au afya yako hutaathirika sana maana utakuwa tayari una kitega uchumi kingine cha kudumu kisichotegemea sana ushiriki wako na muda wako wa moja kwa moja Mf...
  11. F

    Ndugu zangu natafuta mke mwema naombeni maombi yenu

    Link tena ndugu.. Hao ninawaheshimu na kuwapenda, tunawaombea daima wapate wenzi wema maana na wao kutokana na malezi bora ya kijamii na kiimani wanakusudua kuwa wake bora na wema. Kwa wale wenye nia njema wanione faragha.. Nitawapa mawasiliano.. Lakini nipo tayari kuwapokea kama wageni wangu...
  12. F

    Ndugu zangu natafuta mke mwema naombeni maombi yenu

    Upo mkoa gani?? Ningekuelekeza kwa mabinti wacha Mungu wanao sali kwaajili hiyo hiyo. Ni waadilifu wenye nia na dhamira safi.. Uniniulize nimejuaje.. Nina maanisha ninachosema.. Wamelelewa kwa malezi bora.
  13. F

    Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

    Wendo.. Kigogo.. Wende kibena.. Maana yake upendo au huruma za Mungu. Madovena... Kingoni.. Nimesahau maana. Lusungu... Ni kihehe na kibena maana yake Huruma. Ni jina la kiume. Atu.. Atupele.. Kibena, kihehe, sijui kinyakyusa.. Maana yake alitupata ni Mungu.. Jina la kike. Anosisye.. Amependeza.
  14. F

    Kanisa Katoliki mje hapa, maana nimesema kwenye vikao hamfanyi

    Aisee katubu ndugu. Kumbe ni kwaajili ya Misa mmh. Kuna kitu juu ya hizo misa za marehemu hukijui kabisa. Na umeleta huku ili watu watukane na kukufuru. Kwanza hiyo sadaka ya pili huwa wanapata sh ngapi?? Na yote ni kutokana na ubinafsi wa wafiwa kujifikiria wao tuu, uchungu wao tuu kama...
  15. F

    Rais Samia acha kutafuta chaka la kujifichia. Anayetukana sheria ichukue mkondo wake

    Mwenyezi Mungu ni mwema na mwenye huruma nyakati zote.. Atakutakasa kinywa cha kabla ya saa ya Mwisho wa maisha yako. Amina.
  16. F

    Rais Samia acha kutafuta chaka la kujifichia. Anayetukana sheria ichukue mkondo wake

    Ndivyo ulivyo na unapaswa kuwa hivyo, kwa sababu upo hivyo na nakuhakikishia wakati wa kufa kwako NENO LA MWISHO UNAPOKATA ROHO LITAKUWA NI TUSI na utakumbukwa na waliobaki kwa hilo.
  17. F

    Rais Samia acha kutafuta chaka la kujifichia. Anayetukana sheria ichukue mkondo wake

    Umeendeleaa umeniita idiot kwa una ji prove mwenye wewe kichwa chako kipo... Ni matusi tuu ndio yaliyokujaa kichwani na ndio yalioujaza moyo wako, na ndio maisha yako ya kila siku.. Sasa mbona unamlaumu Rais kwa lipi kama wewe mwenyewe unajithibitishia mwenyewe ndio upo hivyoo. Kwa nini...
  18. F

    Rais Samia acha kutafuta chaka la kujifichia. Anayetukana sheria ichukue mkondo wake

    Eeheee umesema nini jinga kabisaaa nadhani umenielewa.. Hatupo tayari kukosolewa ila sisi tunataka ndio tuwe wakosoaji tuu na matusi juuu. Hatupo tayari kuvumilia maoni tofauti na yetu ila tunataka wengine wavumilie tuu Ni maajabu makubwa na ndio kizazi kilichojaa Tanzania upeo finyu mno...
Back
Top Bottom