Search results

  1. K

    Matatizo mawili makuu kwenye samsung

    Bilashaka leo upo happy, pole kama hauna furaha.. Wakuu mimi natumia samsung sgh u900 ina matatizo mawili makubwa 1) mtu akinipigia simu nikaikata bila kuipokea simu inakata alafu inaniandikia AUTO REPLAY MESSAGE SENT alafu hiyo message inaenda kwa huyo aliekuwa ananipigia, nimewapigia voda...
  2. K

    Kama ingekutokea wewe ungefanyeje?

    Salaam wakuu kuna kisa kimenitoke ila nakosa namnaya kukikabili, Nina mpenzi wangu nipo nae huu mwezi wa 9 sasa, yeye yupo moshi mimi nipo arusha maranyingine yeye huja arusha na mimi kwenda moshi, kamliza masomo yake ila bado hajapata kazi yupo nyumbani...
  3. K

    Kufungwa afungwe Real Madrid kwanini mashabiki wa Man U wachukie?

    Juzi kwenye mech ya uefa kati ya realmadrid na bacelona, nilishuhudia mashabiki wa man u wakiwaka kwa hasira mno baada ya madrid kufungwa kuliko hata wapenzi wa madrid kwanini???
  4. K

    Bollywood and hollywood wapi wakali wa movie!!?

    Movie za hollywood na za bollywood zipi zenye hisia za ukweli na kila unapotazama zina kufunza jambo lenye manufaa katika maisha yako...
  5. K

    sabuni na ngozi zetu

    Salaam wapendwa naomba tujuzane ni sabuni gani nzuri inayo safisha ngozi ya mwili vizuri na kutoa uchafu wote unaojificha kwenye vitundu vya ngozi, naamin kwa kufanya hivi tutasaidiana wengi naomba kuwakilisha
  6. K

    Kwa mabingwa wa umeme na mitambo

    Jamani mwenzenu nimekwama transformer ya 630kva ina supply umeme kwenda umbali wa 1500cm service line ni ya 100mm, cable ya main ni 120mm inalisha crasher ya kupasua mawe yenye motor hizi 200kw inatembea star delta (contactor size: main 450amps, delta 630amps, star 400amps) na 110kw star delta...
Back
Top Bottom