sabuni na ngozi zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sabuni na ngozi zetu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kundasenyi, Apr 20, 2011.

 1. K

  Kundasenyi Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam wapendwa naomba tujuzane ni sabuni gani nzuri inayo safisha ngozi ya mwili vizuri na kutoa uchafu wote unaojificha kwenye vitundu vya ngozi, naamin kwa kufanya hivi tutasaidiana wengi naomba kuwakilisha
   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bwana Yesu upo wapi, mpenzi wangu rafiki!! njia gani umekwenda nitakuonaje mimi, moyo wangu wajutishwa ..........

  nimeamua kuimba tenzi za rohoni sasa!!
   
 3. data

  data JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,751
  Likes Received: 6,525
  Trophy Points: 280
  nami unipe sabuni utayoipata
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa taarifa yako sabuni hazitofautiani sana na hamna haja ya kutumia hela nyingi hata hizi za 200/- zinafanya kazi nzuri.Unapooga ni muhimu baada ya kujipaka sabuni mwili mzima utumie dodoki au kitaulo kidoko kujisugua ndio nja pekee ya kusafisha ngozi vizuri na kuondokana na harufu/ngozi iliyokufa/chunusi. Ni muhimu pia kujipaka mafuta kidogo mwili mzima baada ya kujikausha hili linahusu pia wanaume kwa afya nzuri ya ngozi.
   
 5. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  itabidi kuanzishwe forum ya urembo sasa..duuh!!
   
 6. K

  Kundasenyi Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thnx kwa ushauri wako
   
Loading...