Search results

  1. GABOO

    sun block lotion

    Wadau naomba kufahamishwa kuhusu sun block lotion,nataka kununua,maana naona mionzi ya jua inaniumiza sana.
  2. GABOO

    msaada,chuo cha utali

    Naomba kufahamishwa chuo kizuri cha utalii Arusha.pia nshaurini chochote kuhusu utalii,ulipotoka,ulipo na unapoelekea.thanks
  3. GABOO

    Msaada:kozi ya computer

    Salaam wanajf,mimi napenda sana macomputer,natamani sana kusomea na kufanya kazi kwenye macomputer,nishaurini kozi nzuri na chuo kizuri naweza somea.nipo Arusha.
  4. GABOO

    Msaada.youtube No response,try again.

    Hii inakuaje? nikiweka line ya airtel then nikiopen youtube inaniandikia no response,try again.ila nikiweka line ya voda ina open vizuri,natumia nokia c2-01
  5. GABOO

    Wapi ntapata Dc 6v-24v car electrical tester?

    Ni wapi ntapata dc 6v-24v car electrical tester.nipo Arusha
  6. GABOO

    Kukopesha pesa.

    Bila shaka wazima wote,nina milioni moja ambayo nataka kuanza kukopesha watu,mikopo hiyo na mpango wa kukopesha wanajamii wanaonizunguka,nataka kujua ni riba asilimia ngapi niweke,kiwango cha chini cha mkopo kikiwa 50000,pili muda wa urudishaji niupangeje?
  7. GABOO

    Saluni ya kiume

    Wakuu naombeni msaada wa hatua za uanzishwaji,uendeswaji na ununuzi wa vifaa vya saluni ya kiume,nina 1.5mil.nipo Arusha,zingatio. chumba,umeme wa tanesco,maji nnavyo.
  8. GABOO

    Bulbu ya maji

    wakuu hii habari niliskia bbc,kwamba huko kenya wanapata mwanga wa taa kwa kutumia chupa ya maji,sasa nauliza kuna mtu ameona hii kitu inavyofanya kazi?
  9. GABOO

    minisd card

    hivi kuna uwezekano wa kupata files za minisd card ambayo nimeiformat?
  10. GABOO

    beat making software

    Please kama kuna yeyote mwenye beat making software for biginners nzuri au wapi naweza download for free anisaidie
  11. GABOO

    Hello jf

    Nawasalim nyote,nipokeni waungwana,weekend njema.
Back
Top Bottom