Search results

  1. Rwaki

    Ukweli kuhusu Branch international App

    Wakuu apps inaitwaje hiyo nidownload
  2. Rwaki

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nielekeze mkuu
  3. Rwaki

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nipe maelekezo mkuu jinsi ya kuweka mkeka
  4. Rwaki

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Mkuu unabeti na apps ipi plz, huwa natumia m bet app but not too good je unayo tumia ipi
  5. Rwaki

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Samahani mkuu naomba nielekeze iyo app ya kubet plz
  6. Rwaki

    Nimegundua Arusha wanakuja watu wakubwa wa dunia kimya kimya na wanaondoka kimya kimya

    Nipo karibu na ngurudoto ila mkuu nimesikia kwako. Lini wamekuja mkuu, duh! Kali mkuu angekua mbongo msanii kaenda huko kwao tungefahamu, wenzetu hawana ujinga kweli.
  7. Rwaki

    Harmorapa , Harmonize hajui kuimba anabebwa na media

    Uyo amo sijui nn, ana jipya watu wanafanya yao yeye kakalia majungu si upumbavu. Yeye aimbe anae jua wasiojua wanaheat kilakukicha kweli nyanii aoni kundule.
  8. Rwaki

    Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

    Kweli wakuu kipenzi cha watu, anae jua anajua tu, waigaji wengi ila hapo wao huyo.
  9. Rwaki

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Wakuu naomba nielekezeni jinsi ya kudownload movies.
  10. Rwaki

    Nijuze movie kali.,nikazipakue nina bando za kutosha

    Hata season mkuu, secrete mission, ni mpya
  11. Rwaki

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio ilà kuna mkuu mmoja kama kagusa vyema , msaada nabeti kupitia m-bets, but kama kuna njia rahisi nyingne mnisaidie ya kutupia mzigo
  12. Rwaki

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mnifundishe level yenu wakuu nami niwe nabeti
  13. Rwaki

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jinsi ya njia nyepesi ya kubeti, dowload m-bets on google,
  14. Rwaki

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ok mkuu, but sometime zile mech usizo waamin weka zako
Back
Top Bottom