Search results

  1. vengu

    TANZIA Malu Stonch (Nuhu) afariki Dunia. Alikuwa akitumbuiza jukwaani

    Pumzika Kwa amani malu stonch nuhu...sauti yako ilikuwa amazing mwamba
  2. vengu

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Ndege ni usafiri salama kabisa..kilichotokea angani ni turbulence tu
  3. vengu

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Atakayenipatia wimbo wa tofii mvambe chini ya mokibo sound unoitwa mosesengo zawadi yake no no sana
  4. vengu

    Dodoma isiyo na maji ndo ya kufananishwa na Moshi?

    Daah watanzania Kwa kutotumia akili hatujambo...hiyo Dodoma mnayoisema Kila siku ukame ndivyo ilivyo mungu alivyoiumba...sasa ulitaka watu wa Dodoma wafanyeje na huo ukame?? Kama Moshi pa kijani ndo hivyo palivyoumbwa..acheni ushamba Kwa kusema vibaya maeneo ya watu utadhani mmeombwa kuishia...
  5. vengu

    Ujasusi wa Kisoka

    Ukiangalia ligi za wenzetu unaweza kusema afadhail ya ligi yetu
  6. vengu

    Ujasusi wa Kisoka

    Chondechonde viongozi wa Tanzania wakati ndio huu. Wakati nchi nyingi hapa Africa zinastruggle kutafuta kujulikana kisoka hapa nyumbani MWenyezi Mungu ametubariki kwa namna nyingine na ya kipekee, kuna mambo machache ambayo serikali yetu ikiwa makini nchi itafika mbali hata kama hatuna vipaji...
  7. vengu

    Nimeua nyoka mkubwa Mikumi

    Nyoka Hana madhara usipomdhuru
  8. vengu

    January Makamba: Watanzania wajiandae na bei kubwa za mafuta

    Daah huyu mwamba mi simkubali kabisa...hapa mama katuletea balaa sana
  9. vengu

    Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

    NMB NI WA KIWAKIMBIA TU..WAMEZIBA PAMBA MASIKIONI NA 17 YAO
  10. vengu

    NMB walazimishwe kushusha riba zao za mikopo

    Hawa jamaa hawataki kusikia kitu hiyo..dawa Yao ni kuwakimbia
  11. vengu

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Hali ya hewa Dodoma inakwaza sana...miti ipandwe kwa wingi tena kwa lazima...
Back
Top Bottom